Utata kifo cha Nusura, Ndugu wahoji uharaka wa mazishi bila uchunguzi

Utata kifo cha Nusura, Ndugu wahoji uharaka wa mazishi bila uchunguzi

Mtoto wao alienda kudanga,msimwa gushie jba bovu mchumba wake,nani alilipa pesa za kusafilisha maiti? Nani aliwaongoza kupeleka maiti?
 
Kadri wanavuojitokeza kuongea Ndio utata unazidi...bila shaka ukweli utajulikwna tu!
 
"Alisema mtoto wake, Nusura, wakati akiwa kwenye mazoezi ya vitendo (field), alipata mchumba (jina tunalihifadhi) ambaye ni Mwalimu kwenye shule ya sekondari iliyopo Marangu ambayo hata hivyo hakuitaja."

Bado kuna Sintofahamu!!
 
Baba anakiri haujui huo uchumba wa mtoto wake ila mama anakiri kwamba anautambua uchumba wa mwanaye kazi kwelikweli,

Alafu KATIKA maelezo yote sijaona pahali wazazibar wakisema kwamba Nusra alikuwa na ugonjwa kisukari kama ilivyoripotiwa na yule Dr.
 
"Alisema mtoto wake, Nusura, wakati akiwa kwenye mazoezi ya vitendo (field), alipata mchumba (jina tunalihifadhi) ambaye ni Mwalimu kwenye shule ya sekondari iliyopo Marangu ambayo hata hivyo hakuitaja."

Bado kuna Sintofahamu!!

Hakuna sintofahamu Shida ni wewe na Wenzako. Mna majibu yenu
 
"Alisema mtoto wake, Nusura, wakati akiwa kwenye mazoezi ya vitendo (field), alipata mchumba (jina tunalihifadhi) ambaye ni Mwalimu kwenye shule ya sekondari iliyopo Marangu ambayo hata hivyo hakuitaja."

Bado kuna Sintofahamu!!
Kama wangekuwa serious shule inajulikana maana inakuwa kwenye records. Lakini hivi first year wanaenda field pia?
 
Hakuna la maana litakalojitokeza vile wazazi wenyewe wanaonekana kukubali matokeo. RIP Nusra. Sioni uwepo wa mwalimu wala any other third part zaidi ya kile ambacho ni obvious . Klm imetumika tu kupoteza eneo la tukio. Lakini scene haijachezwa vizuri, ni maigizo yanayoweza tu kuwafurahisha watoto.
 
Mbona sioni anayehoji kama marehemu alikuwa na majeraha kuonyesha chanzo cha kifo ni ajali au kupigwa.
 
Mimi naona hata wazazi wenyewe hawapo makini na kifo cha mtoto wao coz baba anasema hatambui uchumba lakini mama anatambua uchumba sasa kipi ni kipi
 
Hiyo kesi imeshaisha rejea kesi nyingine zilizopita kina Aqwilina, Gashaza,Lwajabe.
Serikali ya watu wahuni Lazima waishi kihuni
 
Back
Top Bottom