Utata kuhusu Askofu Mkuu aliyegusisha ndimi na Askofu mdogo wa kiume kama ishara ya baraka nchini Nigeria

Hivi majuzi, video ilisambaa kwenye mitandao ya kijamii ikimuonyesha askofu mmoja wa Nigeria akifanya ibada isiyo ya kawaida ya kugusishana ndimi na askofu mwingine wa kiume.

Tukio hili lilizua mjadala mkali na hisia tofauti miongoni mwa waumini na umma kwa ujumla.

Katika video hiyo, askofu mkubwa alionekana akimimina maji kichwani mwa askofu kijana mara tatu, kisha kumpa chupa anywe kilichokuwa ndani yake.

Baadaye, wote wawili walitoa ndimi zao nje na kuacha zigusane mara tatu, kitendo kilichozua mshangao na ukosoaji mkubwa.

Kitendo hiki kiliibua maswali mengi kuhusu uhalali na usahihi wa ibada kama hiyo katika imani ya Kikristo. Wengi walikosoa vikali kitendo hicho, wakikiona kama kinyume na mafundisho ya dini na maadili ya kijamii.

Baada ya shinikizo kutoka kwa umma, askofu huyo alitoa ombi la msamaha hadharani ambapo alikiri kwamba kitendo chake kilikuwa cha makosa na hakikupaswa kufanyika. Aliwaomba radhi waumini wake na umma kwa ujumla kwa kukiuka maadili na taratibu za kidini.

Katika hatua nyingine, Kanisa la Cherubim & Seraphim Unification Church of Nigeria lilijitenga na kitendo hicho na kumkana askofu huyo. Viongozi wa kanisa hilo walitoa tamko wakisema kwamba ibada hiyo haikubaliki na haijawahi kuwa sehemu ya mafundisho au taratibu zao.

"Tunalaani vikali kitendo hicho na tunataka umma ufahamu kwamba hakina uhusiano wowote na mafundisho yetu. Askofu huyo alifanya kwa matakwa yake binafsi na hatuwajibiki kwa matendo yake." Walisema.
Waumini nao ni shida. Hapo inatakiwa kupiga mayowe mpaka waache. Cha ajabu, kesho tena waumini wataenda kusali kwa huyo askofu
 
Hao mbona wanafiran sana tu kwenye makanisa yao na seminary zao hakuna jipya hapo...wanamuiga mudi boy
 
Unaweza kuta askofu anakula viboga sana huyu. Unatumiaje ulimi kwa ulimi na mwanaume mwenzako na unajua kabisa kuwa hiyo ni ishara mbaya, na nikinyume na maadili.
Ushoga wa wazi kabisa unaovishwa sura tofauti.
Hii sio ya kuchekea.
 
Tupia picha yake nae Akinyonya ili Walokole wenzio Waitunze!!!!! Kama una basi ni Propaganda tu!!!!

Nyie huwa mnaamini maandiko kuliko picha, nimekupa na kifungu kabisa
MTUME MUHAMMAD ALINYONYA ULIMI WA AL HASSAN Hadith Idadi 16,245:
 
Vitabu vya hadithi vipo vingi shirikiana nae mtuambie hiyo hadithi namba 16,245 ipo kwenye kitabu gani, vitabu vya hadithi ni hivi hapa
1.Sahih Bukhari
2.Sahih Muslim
3.suna Abu Dawood
4.Suna An Nasai
5.Jami A' Tirmidh
6.Suna Ibn Maja

Sasa kafiri mwenzako kasema tu hadith namba 16,245 bila kusema ni ya kwenye kitabu gani , sasa aseme ipo kwenye kitabu gani ndani ya vitabu hivyo ili tumuumbue.

Mambo ya kunyonyana ulimi yapo huko kwenye ukafiri Papa Francis karuhusu ushoga ubarikiwe na huyu Askofu kaanza kumnyonya ulimi mwenzake ushahidi huu hapa
View attachment 3262103

Huyo Babu muarabu unamuabudu licha ya madudu na mauchafu yake yote, ikiwemo kugegeda katoto Aisha kakiwa na umri wa miaka tisa
Hii hapa inaeleza alivyokua anapiga denda mvulana
 
Hayo ni maneno walioandika makafiri wenzako
Hadithi sahihi namba 1183 kwenye Al adab Al mufrad ni hii
Hii ni hadithi kama inavyosema kutoka Al-Adab Al-Mufrad Hadithi namba 1183:

عن عبد الله بن مسعود رضي الله عنه قال:
قال رسول الله صلى الله عليه وسلم:
"رغم أنفه، ثم رغم أنفه، ثم رغم أنفه." قيل: "من يا رسول الله؟" قال: "من أدرك والديه عند الكبر أحدهما أو كليهما ثم لم يدخل الجنة."

Here is the hadith from *Al-Adab Al-Mufrad Hadith number 1183 in English:

Narrated by Abdullah bin Mas'ud (RA):
The Messenger of Allah (SAW) said:
"Woe to him, woe to him, woe to him." They asked, "Who, O Messenger of Allah?" He replied, "He who reaches old age with one or both of his parents and does not enter Paradise."

Tafsiri:
Abdullahi bin Mas'ud (RA) alisema:
Mtume (SAW) alisema:
"Mfuasi wake atakuwa mwenye fedheha, kisha mwenye fedheha tena, kisha mwenye fedheha." Watu walimuuliza: "Nani, Ewe Mtume wa Allah?" Akasema: "Yule ambaye atawapata wazazi wake wakiwa na umri mkubwa, mmoja wao au wote wawili, kisha hakupata kuwa mwenye kuingia Peponi."

hiyo yako uliyoleta ni ile aliyoandika Papa Francis ili awahadae muoane vizuri
 
Unaweza kuta askofu anakula viboga sana huyu. Unatumiaje ulimi kwa ulimi na mwanaume mwenzako na unajua kabisa kuwa hiyo ni ishara mbaya, na nikinyume na maadili.
Sasa hivi ni mzee atakuwa anapelekewa welding.
 
Washenzi hao inaonekana wanajuana,kama huyo kijana alishtukizwa angeshangaa wala asingetoa ulimi
 
Nyie huwa mnaamini maandiko kuliko picha, nimekupa na kifungu kabisa
MTUME MUHAMMAD ALINYONYA ULIMI WA AL HASSAN Hadith Idadi 16,245:
haaaa Sasa vip iwe Andiko!!!! mimi Nimetunza picha sio andiko naww wape Walokole wenzio picha kama hiii ipo ktk Uzi huu!!!!

Sasa mm nitatupia picha mlokole atupie andiko mbona ujamsaidia mwenzio!!!!! lete Ushaidi wa picha?.!!!!!
 
Ni mambo ya hovyo na hatuwezi kuyatetea, naona hata kwenu huko yalifanywa sana na muarabu wenu
MTUME MUHAMMAD ALINYONYA ULIMI WA AL HASSAN Hadith Idadi 16,245:
Yakweli hayo au
 
Back
Top Bottom