Leta hayo maandiko yako wapi ili nikuumbueLakini pia kuna maandiko kwenye kitabu yanasema mtume alifanya hivyo, yeye alinyonya kabisa ulimi wa nwanaume mwenzake na imeandikwa. Hakuna yeyote aliyepinga wala kujitenga na hiyo kadhia.
Waumini nao ni shida. Hapo inatakiwa kupiga mayowe mpaka waache. Cha ajabu, kesho tena waumini wataenda kusali kwa huyo askofu
Hivi majuzi, video ilisambaa kwenye mitandao ya kijamii ikimuonyesha askofu mmoja wa Nigeria akifanya ibada isiyo ya kawaida ya kugusishana ndimi na askofu mwingine wa kiume.
Tukio hili lilizua mjadala mkali na hisia tofauti miongoni mwa waumini na umma kwa ujumla.
Katika video hiyo, askofu mkubwa alionekana akimimina maji kichwani mwa askofu kijana mara tatu, kisha kumpa chupa anywe kilichokuwa ndani yake.
Baadaye, wote wawili walitoa ndimi zao nje na kuacha zigusane mara tatu, kitendo kilichozua mshangao na ukosoaji mkubwa.
Kitendo hiki kiliibua maswali mengi kuhusu uhalali na usahihi wa ibada kama hiyo katika imani ya Kikristo. Wengi walikosoa vikali kitendo hicho, wakikiona kama kinyume na mafundisho ya dini na maadili ya kijamii.
Baada ya shinikizo kutoka kwa umma, askofu huyo alitoa ombi la msamaha hadharani ambapo alikiri kwamba kitendo chake kilikuwa cha makosa na hakikupaswa kufanyika. Aliwaomba radhi waumini wake na umma kwa ujumla kwa kukiuka maadili na taratibu za kidini.
Katika hatua nyingine, Kanisa la Cherubim & Seraphim Unification Church of Nigeria lilijitenga na kitendo hicho na kumkana askofu huyo. Viongozi wa kanisa hilo walitoa tamko wakisema kwamba ibada hiyo haikubaliki na haijawahi kuwa sehemu ya mafundisho au taratibu zao.
"Tunalaani vikali kitendo hicho na tunataka umma ufahamu kwamba hakina uhusiano wowote na mafundisho yetu. Askofu huyo alifanya kwa matakwa yake binafsi na hatuwajibiki kwa matendo yake." Walisema.
Hao mbona wanafiran sana tu kwenye makanisa yao na seminary zao hakuna jipya hapo...wanamuiga mudi boy

Ushoga wa wazi kabisa unaovishwa sura tofauti.Unaweza kuta askofu anakula viboga sana huyu. Unatumiaje ulimi kwa ulimi na mwanaume mwenzako na unajua kabisa kuwa hiyo ni ishara mbaya, na nikinyume na maadili.
Huyo kichaa ameshakula Ban tayar
Hayo mambo yamejaa makanisani, labda walaumiwe kwa kuyafanya hadharani tu.Inasikitisha sana jinsi walivyotuaibisha wakristo. Mungu atusamehe
Tupia picha yake nae Akinyonya ili Walokole wenzio Waitunze!!!!! Kama una basi ni Propaganda tu!!!!
Vitabu vya hadithi vipo vingi shirikiana nae mtuambie hiyo hadithi namba 16,245 ipo kwenye kitabu gani, vitabu vya hadithi ni hivi hapa
1.Sahih Bukhari
2.Sahih Muslim
3.suna Abu Dawood
4.Suna An Nasai
5.Jami A' Tirmidh
6.Suna Ibn Maja
Sasa kafiri mwenzako kasema tu hadith namba 16,245 bila kusema ni ya kwenye kitabu gani , sasa aseme ipo kwenye kitabu gani ndani ya vitabu hivyo ili tumuumbue.
Mambo ya kunyonyana ulimi yapo huko kwenye ukafiri Papa Francis karuhusu ushoga ubarikiwe na huyu Askofu kaanza kumnyonya ulimi mwenzake ushahidi huu hapa
View attachment 3262103
Akija atakuta ndugu zake wananyonyana ndimi.Huyo kichaa ameshakula Ban tayar
Hayo ni maneno walioandika makafiri wenzakoHuyo Babu muarabu unamuabudu licha ya madudu na mauchafu yake yote, ikiwemo kugegeda katoto Aisha kakiwa na umri wa miaka tisa
Hii hapa inaeleza alivyokua anapiga denda mvulana
Al-Adab Al-Mufrad 1183 - Sitting and lying down - باب الجلوس والاستلقاء - Sunnah.com - Sayings and Teachings of Prophet Muhammad (صلى الله عليه و سلم)
Hadith of the Prophet Muhammad (saws) in English and Arabicsunnah.com
Sasa hivi ni mzee atakuwa anapelekewa welding.Unaweza kuta askofu anakula viboga sana huyu. Unatumiaje ulimi kwa ulimi na mwanaume mwenzako na unajua kabisa kuwa hiyo ni ishara mbaya, na nikinyume na maadili.
haaaa Sasa vip iwe Andiko!!!! mimi Nimetunza picha sio andiko naww wape Walokole wenzio picha kama hiii ipo ktk Uzi huu!!!!Nyie huwa mnaamini maandiko kuliko picha, nimekupa na kifungu kabisa
MTUME MUHAMMAD ALINYONYA ULIMI WA AL HASSAN Hadith Idadi 16,245: