DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Riport ya 👮 hipo kisiasa Wala haina mantiki mkuu .MkuunTuamini ripoti ya polisi na madaktari au tuamini haya maneno yako yaliyojaa chuki dhidi ya walimu?
Ukisoma vizuri habari ni out put ya in put ambayo main character ndio namzungumzia na matukio yao hawajaanza leo ni tabia zao wameshazoea.Kuna watu ni wavivu wa kusoma ,soma habari ndo ucomment
Chanzo cha kuvuja damu ni kipi?Lakini Pia Dr. Amesema kuvuja damu kumesababishwa na Saratani ya Damu..
BTW hawa kaki siwaamini kabisa, Walipindisha Ushahidi wa ndugu yangu P wazi wazi..
Unachokisema hukifahamu nduguSijui waalimu wa Tz wanatumia Nini hawana tofauti na Vichaa , Mtu hujalala nae ,sio mwano , sio ndugu yako ...lakini unaamua kumpa mijeredi mikali Hadi anapoteza Fahamu kifo ulemavu * nk*
wewe ndio hufahamu au kwa makusudi unapindisha ukweli ila walimu wanakera sana,mambo yanayoendelea mashuleni ni ya kutisha.Unachokisema hukifahamu ndugu
Aliyekufundsha hd leo unaweza kuandika huu utumbo unasema hajitambuai kuwa n heshima fala weweNimewahi Fanya hiyo Kazi waalimu wengi hawajitambui hawana Maarifa adhabu wanazowapa wanafunzi lazima ushangae wanasahua , wanafunzi ndo wateja wao na ndo wanawalipa mishahara .
Akili ndogo
Hapa ndo unapoona ukichaa wa waalimu. Ripoti ya daktar iliyotoa taarifa ya sababu ya kifo cha marehemu. Inasema marehemu alifariki kwasababu ya kupoteza damu nyingi ambayo pia inatokana na ugonjwa wa saratani ya damu.MkuunTuamini ripoti ya polisi na madaktari au tuamini haya maneno yako yaliyojaa chuki dhidi ya walimu?
Waalimu wengi ni mafala sana. Kumchapa mwanafunzi siyo methodology ya kumfanya mwanafunzi aelewe.Kuna walimu sio walimu wamebaka ualimu.
Duh mpwayungu villageWaalimu wengi ni mafala sana. Kumchapa mwanafunzi siyo methodology ya kumfanya mwanafunzi aelewe.
Mim na professional yangu naweza kumuweka mwanafunzi chini nikamfundisha na akatoka na kitu.
Hawa wanaamini viboko tu mafwala hawa
Walimu wabadilike kwakweli,nilikuwa napitia tovuti ya CIA kitengo cha kufundisha mbwa wao yule trainer akasema na namnukuu "ili uweze kumfundisha mbwa akaelewa kwa urahisi na haraka,mosi unamtengenezea mazingira kuwa na furaha na amani (stress free)".Waalimu wengi ni mafala sana. Kumchapa mwanafunzi siyo methodology ya kumfanya mwanafunzi aelewe.
Mim na professional yangu naweza kumuweka mwanafunzi chini nikamfundisha na akatoka na kitu.
Hawa wanaamini viboko tu mafwala hawa
Pengine Ticha ni kabila moja na Kamanda na ndio maana mpaka jina linafichwa lisitoe sign/indicator.Polisi huenda wamenyofoa karatasi za ripoti kamili ya daktari.
Madam au ni wewe??Afu hasira hasara
🚮Madam au ni wewe??
Walimu wajiweke kando na Hawa watoto...kwa sababu hata mtoto akifeli yeye hawajabikiKwa vyovyote vile mwalimu hana kosa hata kama kwa sehemu ya kifo cha marehem atakuwa kahusika.
Kwanini nasema hivyo?
Kwasababu Daktari,tena wa serikali ameshathibitisha kwamba mwanafunzi hajafa kwasababu za kupigwa bali kwa ugonjwa na ni ugonjwa ambao hausababishwi kwa kipigo.
Lakini pia kisheria mwalimu anonekana hana hatia kwasababu ya muda uliopita tangu mwanafunzi apigwe na mpaka umauti ulipomkuta na hasa kwasababu wazazi wamekuja kulalamika baada ya kifo cha mwanafunzi kitu ambacho inaonesha wanataftia pa kuangushia lawama.
Ni sahihi kabisa,lakin kama mwalimu kuna muda lazima anaumia kwanini mwanafunzi anafeli kirahisi au pengine unakuta kuna vitu vya maksudi vinavyomfanya anafeliWalimu wajiweke kando na Hawa watoto...kwa sababu hata mtoto akifeli yeye hawajabiki
huna akili wewe,taarifa haijamtaja mwalimu kama ndiye aliyesababisha ww mwenye unyafuzi umeng'ang'ania mwalimu,alafu kwenye taarifa hakuna maelezo yoyote ya mwalimu zaidi ya maelezo ya mzazi,polisi na daktari~maelezo ya mwalimu hakunaHapa ndo unapoona ukichaa wa waalimu. Ripoti ya daktar iliyotoa taarifa ya sababu ya kifo cha marehemu. Inasema marehemu alifariki kwasababu ya kupoteza damu nyingi ambayo pia inatokana na ugonjwa wa saratani ya damu.
Sasa unajiuliza sababu ya marehemu kutokwa na damu ilikuwa ni nini? Au marehemu alikuwa na tatzo la kutokwa na damu pasipo kuwa na jeraha? Na kama kuvuja kwa damu kulisababishwa na uwepo wa jeraha je jeraha lilisababishwa na Nani?
Acheni ufala waalimu.