UTATA: Majadiliano na DP world bado, lakini serikali yetu inajivunia faida za DP world!

Sawa mkuu ila hii tathmini imefanyika upande wetu sisi watanzania sio wao .

Pia tunatakiwa kama ni kweli pawe na ufuatiliaji wa je hizo tathmini kweli zitafikiwa ?

Ndo maana hata muwekezaji akipewa tenda ya kujenga barabara katika ubora fulani ,wanafuatilia kujua je ni kweli kama makubalini na kama unakumbuka Magufuli alikuwa anavunja kabisa na nyundo kuangalia ubora.

Ishu katika nchi zetu ni ufuatilia wa "performance of contract" je muwekezaji anaweza kutimiza yale aliyoahidi maana sisi kama watanzania kwa makubaliano tushafanya tathmini yetu na kujua tutapata asilimia fulani kama ongezeko.

Kumbuka kagame alitaka bandari na alifanya tathmini na kuahidi kiasi fulani kama faida ambacho ni kikubwa zaidi ya tulichokuwa tunapata.
 
Mleta uzi na wanaokuunga mkono wote mna msongo wa mawazo! Sasa kuna shida gani waki anticipate faida?
Kama.unatarajia, unatakiwa kusema kuwa unatarajia. Na useme pia kwa nini una matarajio hayo. Zaidi ya hapo, ni dhahiri utakuwa mwongo.
 
Hakuna utata wowote ila wewe na wenzako mnafanya juhudi ili msielewe. Mkataba wa dp ni mzuri na serikali inapaswa kuongeza kasi kuwaruhusu waanze fasta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…