Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 94,296 Reaction score 122,540 Nov 20, 2016 #21 Hivi nani mwenye akili timamu anaamini kabisa kuwa hii ni picha ya kweli? Kwamba kammanua miss Mexico hapo mezani... Hata 'mzaha' au 'utani' uliopo hapo hamjaugundua?
Hivi nani mwenye akili timamu anaamini kabisa kuwa hii ni picha ya kweli? Kwamba kammanua miss Mexico hapo mezani... Hata 'mzaha' au 'utani' uliopo hapo hamjaugundua?
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 94,296 Reaction score 122,540 Nov 20, 2016 #22 3squere said: Video ilivuja ilikuwa anaongea kwa kuwakejeli wanawake wapizani wake wakatengeneza video kabisa ya sura na MTU anaye fanana naye. Click to expand... Video na audio ya yeye kuongea maneno yasiyofaa hususan dhidi ya warembo ni kweli na yeye mwenyewe alikiri na akaomba radhi. Lakini hizi picha zilizoletwa hapa ni za uongo.
3squere said: Video ilivuja ilikuwa anaongea kwa kuwakejeli wanawake wapizani wake wakatengeneza video kabisa ya sura na MTU anaye fanana naye. Click to expand... Video na audio ya yeye kuongea maneno yasiyofaa hususan dhidi ya warembo ni kweli na yeye mwenyewe alikiri na akaomba radhi. Lakini hizi picha zilizoletwa hapa ni za uongo.
M mangatara JF-Expert Member Joined Jul 6, 2012 Posts 14,517 Reaction score 14,148 Nov 20, 2016 #23 Kwa Mmarekani hiyo sio issue. Walimchoka Clinton wakaamua wamtose tu. Baba Clinton aliamua kuitumia ile ofisi tukufu kufanyia mapenzi mle ndani na hakufanywa chochote. Hayo ni maisha binafsi sio kitu kwao.
Kwa Mmarekani hiyo sio issue. Walimchoka Clinton wakaamua wamtose tu. Baba Clinton aliamua kuitumia ile ofisi tukufu kufanyia mapenzi mle ndani na hakufanywa chochote. Hayo ni maisha binafsi sio kitu kwao.
kidaganda JF-Expert Member Joined Aug 26, 2013 Posts 2,995 Reaction score 2,572 Nov 20, 2016 #24 Uchochezi tu.
Satuuuu JF-Expert Member Joined Dec 3, 2015 Posts 1,849 Reaction score 1,993 Nov 20, 2016 #25 Kenya jmn[emoji48][emoji48][emoji48] kuna kitu kinamaanishwa ktk hiz pic