Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Hivi nani mwenye akili timamu anaamini kabisa kuwa hii ni picha ya kweli?
Kwamba kammanua miss Mexico hapo mezani...
Hata 'mzaha' au 'utani' uliopo hapo hamjaugundua?
Kwamba kammanua miss Mexico hapo mezani...
Hata 'mzaha' au 'utani' uliopo hapo hamjaugundua?