Tetesi: UTATA: PICHA MBAYA ZA DONALD TRUMP

Tetesi: UTATA: PICHA MBAYA ZA DONALD TRUMP

Status
Not open for further replies.
Hivi nani mwenye akili timamu anaamini kabisa kuwa hii ni picha ya kweli?

Kwamba kammanua miss Mexico hapo mezani...

Hata 'mzaha' au 'utani' uliopo hapo hamjaugundua?

d49a62c0b7f58305518fa328b7c10a1b.jpg
 
Video ilivuja ilikuwa anaongea kwa kuwakejeli wanawake wapizani wake wakatengeneza video kabisa ya sura na MTU anaye fanana naye.

Video na audio ya yeye kuongea maneno yasiyofaa hususan dhidi ya warembo ni kweli na yeye mwenyewe alikiri na akaomba radhi.

Lakini hizi picha zilizoletwa hapa ni za uongo.
 
Kwa Mmarekani hiyo sio issue. Walimchoka Clinton wakaamua wamtose tu. Baba Clinton aliamua kuitumia ile ofisi tukufu kufanyia mapenzi mle ndani na hakufanywa chochote. Hayo ni maisha binafsi sio kitu kwao.
 
Kenya jmn[emoji48][emoji48][emoji48] kuna kitu kinamaanishwa ktk hiz pic
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom