Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wapi hasa unao waongelea 1. wanaofanya mapenzi ndani ya gari?hivi hawa watu wanaofanya mapenzi ndani ya gari na kusababisha ajari wanastahili adhabu gani
Sheria gani mkuu na kifungu gani kimetengeneza hilo kosa? baada ya post yako nimeipitia Tanzania road traffic act sijaona hilo kosa naomba unisaidie hiyo sheria niijue ili niweze kupanua uelewa wangu mkuuwanastahili adhabu kwa mujibu wa sheria za barabarani...but nini unamaanisha zaidi.?ni kufanya mapenzi ndani ya gari au kufanya ngono ndani ya gari?Maana ngono haiwezi kusababisha ajali,itategemeana na mazngra yaliyopo.
vipi wakipaki gari porini ni sawa?hivi hawa watu wanaofanya mapenzi ndani ya gari na kusababisha ajari wanastahili adhabu gani