utata tutakwisha

utata tutakwisha

kayandam

Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
52
Reaction score
18
hivi hawa watu wanaofanya mapenzi ndani ya gari na kusababisha ajari wanastahili adhabu gani
 
wanastahili adhabu kwa mujibu wa sheria za barabarani...but nini unamaanisha zaidi.?ni kufanya mapenzi ndani ya gari au kufanya ngono ndani ya gari?Maana ngono haiwezi kusababisha ajali,itategemeana na mazngra yaliyopo.
 
hivi hawa watu wanaofanya mapenzi ndani ya gari na kusababisha ajari wanastahili adhabu gani
wapi hasa unao waongelea 1. wanaofanya mapenzi ndani ya gari?
2. wanao sababisha ajali!!!kwa nini umelink mapenzi na ajali!!
 
kuna watu ambao wamekuwa na tabia ya kuendesha gari huku wamewapakata wapenzi wao kimahaba na wanajisahau na kuwagonga watu au gari kupinduka namaanisha hivyo!
 
wanaendesha gari au chombo chochote huku ubongo wao upo ktk mahaba
 
wanastahili adhabu kwa mujibu wa sheria za barabarani...but nini unamaanisha zaidi.?ni kufanya mapenzi ndani ya gari au kufanya ngono ndani ya gari?Maana ngono haiwezi kusababisha ajali,itategemeana na mazngra yaliyopo.
Sheria gani mkuu na kifungu gani kimetengeneza hilo kosa? baada ya post yako nimeipitia Tanzania road traffic act sijaona hilo kosa naomba unisaidie hiyo sheria niijue ili niweze kupanua uelewa wangu mkuu
 
Back
Top Bottom