Msaada jamani nmekusanya ka hela kangu nataka niagize gari kutoka Japan. Mwanzo nlikua naijua site moja tu nayo ni Beforward lakini baadae nkaja kukutana na Tradecar view. Kinachonichanganya zaidi ni bei za makampuni haya mawili, Bei za Beforward ni ghali kidogo kuliko za tradecarview. Sasa kwa wale wazoefu mnashauri nichukulie wapi??? kwa bei kubwa au ndogo na kama wanavyosema vya bure vinaponza je ni sawa kuchukua Tradecar view????
Msaada jamani nmekusanya ka hela kangu nataka niagize gari kutoka Japan. Mwanzo nlikua naijua site moja tu nayo ni Beforward lakini baadae nikaja kukutana na Tradecar view.
Kinachonichanganya zaidi ni bei za makampuni haya mawili, Bei za Beforward ni ghali kidogo kuliko za tradecarview. Sasa kwa wale wazoefu mnashauri nichukulie wapi? kwa bei kubwa au ndogo na kama wanavyosema vya bure vinaponza je ni sawa kuchukua Tradecar view ?
Ktk minada yote Japan hawa Be forward ndio hununua magari yaliyoshindikana na makampuni mengine ya kuuza magari used, Trade Car View na SBT mi nawakubali. Be forward ni cheap bt vimeo