Tembo2
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 510
- 858
Msaada jamani nmekusanya ka hela kangu nataka niagize gari kutoka Japan. Mwanzo nlikua naijua site moja tu nayo ni Beforward lakini baadae nikaja kukutana na Tradecar view.
Kinachonichanganya zaidi ni bei za makampuni haya mawili, Bei za Beforward ni ghali kidogo kuliko za tradecarview. Sasa kwa wale wazoefu mnashauri nichukulie wapi? kwa bei kubwa au ndogo na kama wanavyosema vya bure vinaponza je ni sawa kuchukua Tradecar view ?