Utata wa bei za magari beforward na tradecarview

Utata wa bei za magari beforward na tradecarview

Tembo2

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
510
Reaction score
858
Msaada jamani nmekusanya ka hela kangu nataka niagize gari kutoka Japan. Mwanzo nlikua naijua site moja tu nayo ni Beforward lakini baadae nikaja kukutana na Tradecar view.

Kinachonichanganya zaidi ni bei za makampuni haya mawili, Bei za Beforward ni ghali kidogo kuliko za tradecarview. Sasa kwa wale wazoefu mnashauri nichukulie wapi? kwa bei kubwa au ndogo na kama wanavyosema vya bure vinaponza je ni sawa kuchukua Tradecar view ?
 
Msaada jamani nmekusanya ka hela kangu nataka niagize gari kutoka Japan. Mwanzo nlikua naijua site moja tu nayo ni Beforward lakini baadae nkaja kukutana na Tradecar view. Kinachonichanganya zaidi ni bei za makampuni haya mawili, Bei za Beforward ni ghali kidogo kuliko za tradecarview. Sasa kwa wale wazoefu mnashauri nichukulie wapi??? kwa bei kubwa au ndogo na kama wanavyosema vya bure vinaponza je ni sawa kuchukua Tradecar view????

Mkuu pitia huu uzi | https://www.jamiiforums.com/showthread.php?t=150632

Una mambo mengi ya kujifunza.
 
Msaada jamani nmekusanya ka hela kangu nataka niagize gari kutoka Japan. Mwanzo nlikua naijua site moja tu nayo ni Beforward lakini baadae nikaja kukutana na Tradecar view.

Kinachonichanganya zaidi ni bei za makampuni haya mawili, Bei za Beforward ni ghali kidogo kuliko za tradecarview. Sasa kwa wale wazoefu mnashauri nichukulie wapi? kwa bei kubwa au ndogo na kama wanavyosema vya bure vinaponza je ni sawa kuchukua Tradecar view ?

Kwanza sio kweli kwamba Beforward wana bei kubwa kuliko tradecarview, beforward ni cheap ila pia magari yao vimeo. Umeona tradecarview ni cheap coz wao wana display FOB tu wakati mara nyingi beforward wanaweka Cif, kuwa makini mzee
 
Beforward ni kampuni moja. Tradecarview ni tovuti inayotangaza magari yanayouzwa na makampuni mengi ikiwemo beforward.
 
Ktk minada yote Japan hawa Be forward ndio hununua magari yaliyoshindikana na makampuni mengine ya kuuza magari used, Trade Car View na SBT mi nawakubali. Be forward ni cheap bt vimeo
 
Ktk minada yote Japan hawa Be forward ndio hununua magari yaliyoshindikana na makampuni mengine ya kuuza magari used, Trade Car View na SBT mi nawakubali. Be forward ni cheap bt vimeo

Be foward ni cheap ila ni zoa zoa. Tradecarview yeye hutangaza gari za kampuni zote kama be foward, japanese vehicles.com, SBT nk.
Lakini gari ambazo ni safi na hazina mkono kabisa ni SBT.
 
Kwanza ujue tu Be forward ni Kampuni moja, Trade Car View hana gari hata moja, bali yeye ni Dalali wa makampuni yote hivyo ukimtumia yeye unakua na wider range/choice of prices and types!!

Ni kama vile unataka IST na labda be forward anazo 10.

Sasa makampuni ya aina ya be forward yako hata alfu so kila mtu aki-display IST zake kwa Trade Car View basi unapata IST hata 1000 (mfano) za kuanzia cheapest price mpaka most expensive IST,

sema ndo na vimeo vipo humohumo, pia quality zipo humohumo vilevile!!
 
Back
Top Bottom