marcoveratti
JF-Expert Member
- Sep 21, 2017
- 1,111
- 1,952
Mitandao ya kijamii imesheheni madai yanayodai kuwa nyota wa Manchester City na timu ya taifa ya Ubelgiji, Jérémy Doku, amefungua talaka dhidi ya mke wake Shireen baada ya kile kinachodaiwa kuwa matokeo ya kipimo cha DNA. Hata hivyo,
Sasa hakuna ushahidi au taarifa kutoka kwa vyombo vya habari vinavyoaminika zinazothibitisha madai hayo.
Ripoti zilizothibitishwa zinaonyesha tu kwamba Doku aliondoka kwa muda kambini wakati wa Kombe la Dunia ili kushuhudia kuzaliwa kwa mtoto wake wa kwanza, Praise, kabla ya kurejea kujiunga na timu ya taifa.