Utata wa DNA Wamfikisha Jérémy Doku Kwenye Talaka?

Utata wa DNA Wamfikisha Jérémy Doku Kwenye Talaka?

Ndoa ni utapeli. Bora niendelee kulea magari ya kijerumani sio mwanamke nisiyemjua kisa ndoa.
Usiwasanue hawa madogo mpaka wapate somo......
4b0865bcd0371c9931744bf871d4df7c.jpg
 
Wanawake wengi ndio wanafanya hivyo kwenye ndoa siku hizi. Wanazalishwa nje kisha wanabambika watoto wanaume wa ndani. Tena mtindo wa kuzaa na ma-Ex zao umeshamiri.

Ndoa ni utapeli. Bora niendelee kulea magari ya kijerumani sio mwanamke nisiyemjua kisa ndoa.
Na hapa ndio huwa naamini mwnamke bikra ni sahihi,wanawake wenye maex ni sumu
 
Back
Top Bottom