marcoveratti
JF-Expert Member
- Sep 21, 2017
- 1,111
- 1,952
Umbea tusasa hakuna ushahidi au taarifa kutoka kwa vyombo vya habari vinavyoaminika zinazothibitisha madai hayo.
umekula?Umbea tu
Sasa si ungesubilia kwanza au ndo mdomo ulikuwa unakuwasha uje uongee ujinga humu?
Kama mtoto si wake hamna cha mgao hapo kwasababu infidelity na ushahidi upo. Labda Doku amuonee huruma tu kama masanja alivyomsamehe mke wake.Alivyoondoka kambi ya timu ya taifa eti kwenda kushuhudia mkewe akijifungua nikajua tu hili jamaa ni lisimp. Hao masimp ni kawaida kupigwa matukio, na hiyo kama ni kweli hapo demu anaondoka na mgao wa mali na divorce alimony.
Hujui kitu wewe. Mke azae nje ya ndoa halafu aondoke na mgao wa mali na alimony. Au hujui maana ya "alimony" nikusaidie?Alivyoondoka kambi ya timu ya taifa eti kwenda kushuhudia mkewe akijifungua nikajua tu hili jamaa ni lisimp. Hao masimp ni kawaida kupigwa matukio, na hiyo kama ni kweli hapo demu anaondoka na mgao wa mali na divorce alimony.
Sidhani kama kuna sheria ya hivo popote dunianiAlivyoondoka kambi ya timu ya taifa eti kwenda kushuhudia mkewe akijifungua nikajua tu hili jamaa ni lisimp. Hao masimp ni kawaida kupigwa matukio, na hiyo kama ni kweli hapo demu anaondoka na mgao wa mali na divorce alimony.
Unajua sababu ya mgao wa mali? Hiyo sheria iliwekwa kutambua mchango wa mwanamke kwenye mafanikio ya mwanaume. Kwahiyo mkeo akikucheat au kukubambikia mtoto haifuti mchango wake kwenye mali zako. Ukimpa talaka mali zinapigwa pasu kwa pasu. Infedility na peternity fraud sio kizuizi cha mwanamke kupata mgao wa mali zako na divorce alimony endapo mkitalakiana. Paternity fraud ikijulikana hautawajibika kuyoa child support, lakini divorce alimony na mgao wa mali hiyo ni kesi nyingine. Mtafute mwanasheria akuelezeHujui kitu wewe. Mke azae nje ya ndoa halafu aondoke na mgao wa mali na alimony. Au hujui maana ya "alimony" nikusaidie?
Peleka ujinga wako kwenu!Unajua sababu ya mgao wa mali? Hiyo sheria iliwekwa kutambua mchango wa mwanamke kwenye mafanikio ya mwanaume. Kwahiyo mkeo akikucheat au kukubambikia mtoto haifuti mchango wake kwenye mali zako. Ukimpa talaka mali zinapigwa pasu kwa pasu. Infedility na peternity fraud sio kizuizi cha mwanamke kupata mgao wa mali zako na divorce alimony endapo mkitalakiana. Paternity fraud ikijulikana hautawajibika kuyoa child support, lakini divorce alimony na mgao wa mali hiyo ni kesi nyingine. Mtafute mwanasheria akueleze
Wewe ni mpumbavu. Ujui chochote kuhusu sheria ya ndoa na family court. Bila shaka lazima utakua unapumuliwa kisogoniPeleka ujinga wako kwenu!
Una akili snaKama mtoto si wake hamna cha mgao hapo kwasababu infidelity na ushahidi upo. Labda Doku amuonee huruma tu kama masanja alivyomsamehe mke wake.
Mkuu unajua reason behind mgao wa mali? Mgao wa mali ni sheria ambayo iliwekwa kutambua mchango wa mwenza wako(mara nyingi mali za mwanaume ndio zinagawanywa kwa sababu katika mahusiano mwanaume ndio mara nyingi anakua na mali zaidi).Kama mtoto si wake hamna cha mgao hapo kwasababu infidelity na ushahidi upo. Labda Doku amuonee huruma tu kama masanja alivyomsamehe mke wake.
Lakini mwenza mkiomba talaka kwa infidelity na una uthibitisho hakuna mgawano wa mali.Mkuu unajua reason behind mgao wa mali? Mgao wa mali ni sheria ambayo iliwekwa kutambua mchango wa mwenza wako(mara nyingi mali za mwanaume ndio zinagawanywa kwa sababu katika mahusiano mwanaume ndio mara nyingi anakua na mali zaidi).
Katika hiyo kesi kama wakitalakiana kwa sababu ya paternity fraud. Lazima iangaliwe kwanza mahusiano yao yalianza lini na kosa limefanyika lini. Mfano mahusiano yao yameanza miaka mitatu iliyopita na kosa limefanyika mwaka jana hiyo haiwezi kuondoa mchango wa mwanamke katika ile miaka miwili ya nyuma.
Hapo child support ndio haitatolewa lakini mgao kuna share mwanamke ataipata, na hata divorce alimony upo iwezekano akapata pia.
Hivi unajua ukitalakiana na mwanamke ambae umemkuta akiwa single mother kuna uwezekano mahakama ikakuamuru ulipe child support kwa ajiri ya huyo mtoto uliemkuta nae? Someni sheria ya ndoa vizuri. Msije mkasaini ule mkataba kichwa kichwa
Zipo situation ambazo anaweza kupata mgao wa mali. Reason behind mgao wa mali ni kutambua mchango wa mwenza wako, sio kumzuia mwenza wako kuchepuka.Lakini mwenza mkiomba talaka kwa infidelity na una uthibitisho hakuna mgawano wa mali.
msaidie hajuiHujui kitu wewe. Mke azae nje ya ndoa halafu aondoke na mgao wa mali na alimony. Au hujui maana ya "alimony" nikusaidie?
Someni sheria ya ndoa vizuri, fatilieni kesi za talaka, tafuteni dondoo ya mambo yanavyoenda uko ustawi wa jamii. Mnatakiwa kuelewa sheria ya ndoa ilibuniwa kulinda masilahi ya mwanamke. Marriage laws and family court don't give a damn about men.msaidie hajui