Wanawake wengi ndio wanafanya hivyo kwenye ndoa siku hizi. Wanazalishwa nje kisha wanabambika watoto wanaume wa ndani. Tena mtindo wa kuzaa na ma-Ex zao umeshamiri.
Ndoa ni utapeli. Bora niendelee kulea magari ya kijerumani sio mwanamke nisiyemjua kisa ndoa.