Utata wa idadi ya followers wa Diamond huko Youtube

niquetamere

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2023
Posts
532
Reaction score
1,008
Haya kama kawaida jamaa wameendelea. Last time walituambia Mandonga kapigwa Kenya kabla hata ya pambano kufanyika. Tulipopoint that out wakafuta uzi.

Leo hii wanatuambia Diamond ndo anaongoza kwa kuwa na wafuasi wengi (bilioni 7.65) πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Sasa hii taarifa hawakuipitisha huko kwenye jamii check kabla ya kuweka kwenye instagram account?

Account inayoongoza kwa followers Youtube ina followers milioni 240.

Kama Diamond ana followers bilioni 7 basi maana yake dunia nzima yote imemfollow kule youtube including wale ambao hawako Youtube.

Stop fake news…!

 
Mbona wa Nigeria wakipika data zao huwa mnawasifia bila kuhoji?
 
Followers 7.65B 🀣🀣🀣🀣 anaweza akawa na Followers wengi mara mbili ya idadi ya watu wenye access ya smartphone duniani
 

Ama kweli akili kisoda, tofautisha kati ya "subsribers" na "view"....ndugu mleta mada wewe mbumbumbu..Ova
 
Ni Jumla ya Views wa Video zake zote akizoweka kwenye akaunt yake ya Youtube.mbona ni saw.hujaelewa nini hapo?
 
Wewe jamaa ni kiazi sana wewe ndo wale mmesoma kichwa cha habari unajitengenezea taarifa zako za kiswahili Soma vizuri uelewe
 
ni Milioni 8 tu, huenda mwandishi alikosea na kuweka B badala ya M
 
Mwandishi yupo sahii ajakosea yeye ajazungumzia hao subscribers au followers kazungumzia streaming
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…