niquetamere
JF-Expert Member
- Jan 26, 2023
- 532
- 1,008
Haya kama kawaida jamaa wameendelea. Last time walituambia Mandonga kapigwa Kenya kabla hata ya pambano kufanyika. Tulipopoint that out wakafuta uzi.
Leo hii wanatuambia Diamond ndo anaongoza kwa kuwa na wafuasi wengi (bilioni 7.65) 😂😂😂😂😂
Sasa hii taarifa hawakuipitisha huko kwenye jamii check kabla ya kuweka kwenye instagram account?
Account inayoongoza kwa followers Youtube ina followers milioni 240.
Kama Diamond ana followers bilioni 7 basi maana yake dunia nzima yote imemfollow kule youtube including wale ambao hawako Youtube.
Stop fake news…!