screen short
Member
- Sep 12, 2024
- 5
- 8
na Maboya alikuwa anaongea kwa kujiamini kama vile yupo nyumbani!... Je Arise and Shine inatumia usajili wa CAG? Maana kwenye uzinduzi ilikuwa inatamkwa ARISE AND SHINE CALVARY ASSEMBLIES OF GOD. Nijuavyo hayo ni makanisa mawili tofauti na kila kanisa lina kiongozi wake. Sasa hapa mbona wanatuchanganya, kiongozi ni Maboya au Mwamposa? na je hilo ni kanisa moja au mawili?
sijawahi kumsikia wala kumsoma maboya kuwa ni kiongozi wa arise and shine tangu mwamposa yuko moshi, imekuwaje kutambulishwa kama askofu mkuu wakati yeye ni kiongozi wa calvary assemblies of god?na Maboya alikuwa anaongea kwa kujiamini kama vile yupo nyumbani!
Walikwisha maliziana na CCM.Kanisa la arise and shine ni la muda mrefu sana tangu nianze kulifahamu chini ya Muhubiri Mwamposa, lkn usajili wake mpaka sasa sijaelewa kabisa, je lipo chini ya usajili gani?
Na nani mmiiki wa hili kanisa? Naombeni kwa wajuzi mnijuze.
Pia soma >> Nani anawajua Wajumbe wa Baraza la Wadhamini la kanisa Arise & Shine (Kawe)?
The untouchable for now...Kanisa la arise and shine ni la muda mrefu sana tangu nianze kulifahamu chini ya Muhubiri Mwamposa, lkn usajili wake mpaka sasa sijaelewa kabisa, je lipo chini ya usajili gani?
Na nani mmiiki wa hili kanisa? Naombeni kwa wajuzi mnijuze.
Pia soma >> Nani anawajua Wajumbe wa Baraza la Wadhamini la kanisa Arise & Shine (Kawe)?
Wasabato gani hao wamkubali suguye?Suguye nasikia naye ni tawi la wasabato
Na wala yeye hajaingilia siasa..huo ujinga wameukataa CATHOLIC hakuna mjinga yeyote kupewa mic asimame madhabahuni tofauti na padreThe untouchable for now...