Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma

Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma

Nadhani hapo M7 hakuwa targeted, ila huyo Dr. Ndiye aliyekusudiwa... ila huenda waliweka mpango wa kwanza kumhusu M7 huku Dr akiwa ni miongoni mwa wapangaji... Lakini kumbe anapangiwa yeye bila kujua... Na ndio maana kukatokea mchezo huo dakika za mwisho... NADHANI NI HIVYO
umewaza mbali sana, akili kama hizi ndo zinatakiwa kwenye intelligence siyo wale vijana kila Sikh kutisha watu mtaani
 
Joseph kasoma Sekondari Tanzania na hata Mafunzo ya JKT kayapatia hapa hapa Tanzania akisomeka Kama kijana wa Kitanzania lakin Leo ndio Rais wa Congo, hata Nkurunzinza Mama yake Mzazi Makazi yake ya Kudumu yapo Kigoma!

Joseph mpaka anakuwa Rais wa Congo alikuwa anakijua vyema sana Kiswahili cha Dar Es salam lakin Lugha ya kwao (Kilingala) alikuwa hakijui kwa kuwa Maisha yake yote alikuwa huku Tanzania, Kama Leo Hii anaongea Lingala itakuwa kajifunza akiwa Rais
Laurent usimsahau.. batu ba congo rwanda burundi... Benja angeamua angefany kam paulo anavyofanya Congo... Kama zenji na bongo
 
Hakuna haja ya povu mkuu


Wewe ndiye kilaza

Maana katika kuandika tarehe ipo aina tatu;

Kuna 1. mwaka/mwez/siku

2. siku/mwezi/mwaka

3. mwezi/siku/mwaka


Kwa hiyo 4/7, nilitafsiri kama mwezi/siku/mwaka. Yaani mwezi wa nne/tarehe 7


Una lingine!???
Nyie hebu kila mmoja amuingilie mwenzie PM mmalizane kiu zenyu huko, mnaturefushia huu uzi kwa malumbano ya adolescence.
 
Hao jamaa basi wabongo mnasahau ila kamwe historia haitupi kila kitu bali inatunza.
Mkapa alipotaka kuuza NBC Mwl alipinga akatafuta na washauri wa kiuchumi wakamuambia hasara za kuuza hiyo benki basi Nyerere akamuita Nkapa kwake Msasani ila kwa kua Nkapa alishajua dhumuni la wito huo basi akanywa whiski za kutosha alipofika msasani kwa mwl ilikua ni aibu Nyerere alikasirika akarudi chumbani.

Nyerere akamuambia Pengo uchafu wa Ben ikabidi Pengo amfuate Mkapa na kumueleza lkn wapi mtu wa ntwara alikuwa keshalewa madaraka akumsikia Nyerere ikabidi aende ikulu kimyakimya na kumuambia Nkapa kuwa Ben umenidhalilisha sana malizia kiporo chako upumzike umuachie mtu mwingine . Kilichofuata ndo hayo tukaambiwa leukemia Mara Komba na nyimbo zake
Kumbe wanayakoroga wenyewe,mpaka mwili umesisimka
 
Hamna jipya duniani mkuu haya yote marudio yalishazungumzwa . Sasa kama ni vitisho sijui unamtishia nani nyie kwa kujifanya secret agents hamjambo ! We soma au pita hivi.[/QUOTE
Nimekuuliza kama una uhakika Jibu Swali.
 
Fact's..... that's true.
Kuna Uzi wangu niliuandika kuhusu BAKWATA.
Kakobe yeye anaweza akatapika mpaka nyongo ila kamwe atakua anatwanga maji kwenye kinu . Hivi mnakumbuka ule waraka wa kakobe aliomuandikia Khalfani Kipindi kile akidai umetoka kwa Mungu ? Tatizo mnasahau labda changamoto za kimaisha !

Siku atakapotoa neno mwanakitengo a.k.a Dar archbishop hapo ndipo nitajua tunaelekea ukombozi kupitia pia viongozi wa dini Ila kwasasa there is nothing going on. Take it from me bila katiba mpya ccm itatawala milele
 
Back
Top Bottom