Wew unaongea pumba kabsa, ebu nenda ulaya utajua MTU Hata Kama amekufa kwa ajali ya moto au Hata ajali watamchunguza tu wajue nn chanzo cha kifo coz inawezkana alikufa kabla ya kuungua n.k so unasema hao ni masikiniKuna mwalimu wangu mmoja wa sociology alinifubdisha kuwa moja ya sifa kubwa ya jamii masikini ni kutokukubali kuwa kuna natural death kwa binadamu. Kila kifo kina mtu nyuma yake.
Dah! Naona kama unaniamsha vile.Yawezekana ikawa nikuweka watu flani salama. Ila inaonekana kunamengi tusio yafamu. Pangine tangu mwanzo hatukua navyama vingi
Huyo ni kijana wa Mr Clean ambae karata ilimpa ushindi baada ya lile kundi kuparaganyika. Umesahau harakati za kujivua gamba. !Sasa huyu sizonje katoka wapi ?
Yaani kama Sani Abacha.Kuna tetesi eti Ommy alikufa kwa kuzidisha matumizi ya viagra usiku ule. Sjui hapo wajuvi mnasemaje..
...Juzi ex CIA agent, aliyekuwa anakaribia kukata roho ali confess kwamba Bob Marley aliuwawa (huo uzi umo humu), kamuulize huyo mwl wako anasemaje kuhusu hili?Kuna mwalimu wangu mmoja wa sociology alinifubdisha kuwa moja ya sifa kubwa ya jamii masikini ni kutokukubali kuwa kuna natural death kwa binadamu. Kila kifo kina mtu nyuma yake.
Maonesho ya sabasaba yanaanza kabla ya tarehe 7sio kwamba mimi ni kilaza, nimeshindwa kuelewa sabasaba na tarehe saba mwezi wa nne vinaingilianaje? mweshimiwa alikufa tarehe saba mwezi wa nne , ila kinachojadiliwa huku ni maonyesho ya sabasaba na target alikuwa ni M7 siku ya tarehe nne mwezi wa saba. mwenye atueleweshe
lakini sio mwezi wa nne mkuuMaonesho ya sabasaba yanaanza kabla ya tarehe 7
Unapoambiwa karma ufanya revenge kwa mda wake na kamwe aliepukiki unatakiwa ukubali . Ni huyo huyo General Imran Kombe Spy Chief by then ndie alieandaa mazingira kama si njia ya kumuondoa yule mmasai kipenzi cha watu.
Malipo yote ni hapa hapa duniani huko ahera ni mengine.
Kuna IGP alichapwa risasi 11 akiwa na familia yake mchana kweupe tena na vijana wake kabisa...
Kuna mtu alipatia na kuna mtu kanakili vibaya hakueleweka ipasavyo Ila 07/4 04/7 moja ikaanza tareh nyengin mwez and vice versa.lakini sio mwezi wa nne mkuu
"Si-En-De-De Ef-De-De"Hahahah
Burundi wana FNL palipehutu na CNDD FDD, hapo kwny D wanatamka 'Dee'
Kipindi alichapwa risasi alikuwa bado yuko ofisini au alikuwa Tatar amestaafu?Sio IGP ila alikuwa Mkurugenzi wa TISS mstaafu Imran Kombe.
mweshimiwa amekufa tarehe saba mwezi wa nne, swali; maonyesho ya sabasaba yanahusikaje hapa? mbona mnapotezea swali la msingi?Kuna mtu alipatia na kuna mtu kanakili vibaya hakueleweka ipasavyo Ila 07/4 04/7 moja ikaanza tareh nyengin mwez and vice versa... Kitu kidogo sana hicho ungekiacha tu
Joseph kasoma Sekondari Tanzania na hata Mafunzo ya JKT kayapatia hapa hapa Tanzania akisomeka Kama kijana wa Kitanzania lakin Leo ndio Rais wa Congo, hata Nkurunzinza Mama yake Mzazi Makazi yake ya Kudumu yapo Kigoma!
Joseph mpaka anakuwa Rais wa Congo alikuwa anakijua vyema sana Kiswahili cha Dar Es salam lakin Lugha ya kwao (Kilingala) alikuwa hakijui kwa kuwa Maisha yake yote alikuwa huku Tanzania, Kama Leo Hii anaongea Lingala itakuwa kajifunza akiwa Rais
sio kwamba mimi ni kilaza, nimeshindwa kuelewa sabasaba na tarehe saba mwezi wa nne vinaingilianaje? mweshimiwa alikufa tarehe saba mwezi wa nne , ila kinachojadiliwa huku ni maonyesho ya sabasaba na target alikuwa ni M7 siku ya tarehe nne mwezi wa saba. mwenye atueleweshe
Lutengano au Ilambo alikosoma Jay Moe mkuuLutengano moja hiyo.