Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma

Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma

Kuna mwalimu wangu mmoja wa sociology alinifubdisha kuwa moja ya sifa kubwa ya jamii masikini ni kutokukubali kuwa kuna natural death kwa binadamu. Kila kifo kina mtu nyuma yake.
Wew unaongea pumba kabsa, ebu nenda ulaya utajua MTU Hata Kama amekufa kwa ajali ya moto au Hata ajali watamchunguza tu wajue nn chanzo cha kifo coz inawezkana alikufa kabla ya kuungua n.k so unasema hao ni masikini
 
Sasa huyu sizonje katoka wapi ?
Huyo ni kijana wa Mr Clean ambae karata ilimpa ushindi baada ya lile kundi kuparaganyika. Umesahau harakati za kujivua gamba. !

Siasa za uchumi za mr clean na huyu hazina utofauti , mr clean alibana matumizi huku akisema wazi fungeni mkanda ila huyu anajitia the defiant ataki kusema ndio maana mnalia hali ngumu waliokuepo enzi za mkapa wanaona marudio tu haya.
 
Anhaa kwa hiyo tuseme Mr clean aliamua kulipa kisas kwa kutokubal boys2men waongoze tena maana ambaye angefuata hapo ni lowassa na inaonkna Mr clean alikua na hasira na mkwere so itakua walivurugana kwenye kamat sasa mkuu hebu tufikirie jee boys2men hawana mpango wa kusimamisha mgombea mwingne 2025 au ndo sizonje kapewa kazi ya kulitokomeza hili kundi?
 
Kuna mwalimu wangu mmoja wa sociology alinifubdisha kuwa moja ya sifa kubwa ya jamii masikini ni kutokukubali kuwa kuna natural death kwa binadamu. Kila kifo kina mtu nyuma yake.
...Juzi ex CIA agent, aliyekuwa anakaribia kukata roho ali confess kwamba Bob Marley aliuwawa (huo uzi umo humu), kamuulize huyo mwl wako anasemaje kuhusu hili?
 
sio kwamba mimi ni kilaza, nimeshindwa kuelewa sabasaba na tarehe saba mwezi wa nne vinaingilianaje? mweshimiwa alikufa tarehe saba mwezi wa nne , ila kinachojadiliwa huku ni maonyesho ya sabasaba na target alikuwa ni M7 siku ya tarehe nne mwezi wa saba. mwenye atueleweshe
Maonesho ya sabasaba yanaanza kabla ya tarehe 7
 
Kwa nini Yule mmasai aliondolewa!? Je, top wa wakati huo hakuhusika!?
Unapoambiwa karma ufanya revenge kwa mda wake na kamwe aliepukiki unatakiwa ukubali . Ni huyo huyo General Imran Kombe Spy Chief by then ndie alieandaa mazingira kama si njia ya kumuondoa yule mmasai kipenzi cha watu.

Malipo yote ni hapa hapa duniani huko ahera ni mengine.
 
Kuna mtu alipatia na kuna mtu kanakili vibaya hakueleweka ipasavyo Ila 07/4 04/7 moja ikaanza tareh nyengin mwez and vice versa... Kitu kidogo sana hicho ungekiacha tu
mweshimiwa amekufa tarehe saba mwezi wa nne, swali; maonyesho ya sabasaba yanahusikaje hapa? mbona mnapotezea swali la msingi?
 
Lutengano moja hiyo.
Joseph kasoma Sekondari Tanzania na hata Mafunzo ya JKT kayapatia hapa hapa Tanzania akisomeka Kama kijana wa Kitanzania lakin Leo ndio Rais wa Congo, hata Nkurunzinza Mama yake Mzazi Makazi yake ya Kudumu yapo Kigoma!

Joseph mpaka anakuwa Rais wa Congo alikuwa anakijua vyema sana Kiswahili cha Dar Es salam lakin Lugha ya kwao (Kilingala) alikuwa hakijui kwa kuwa Maisha yake yote alikuwa huku Tanzania, Kama Leo Hii anaongea Lingala itakuwa kajifunza akiwa Rais
 
Mheshimiwa alifariki tarehe 4 mwezi wa 7 mida ya usiku baada ya kuwa alihudhuria maonesho ya sabasaba mchana was siku hiyo.
sio kwamba mimi ni kilaza, nimeshindwa kuelewa sabasaba na tarehe saba mwezi wa nne vinaingilianaje? mweshimiwa alikufa tarehe saba mwezi wa nne , ila kinachojadiliwa huku ni maonyesho ya sabasaba na target alikuwa ni M7 siku ya tarehe nne mwezi wa saba. mwenye atueleweshe
 
Back
Top Bottom