Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma

Malizia tu kuwa kesi ilipelekwa mahakamani na ikaonekana wale vijana walimuua kwa makusudi na serikali ikakubali kulipa fidia sh mil. 300
 
Katika nyuzi bora ni huu aisee yaani sichoki na nipo siti ya mbele kabisa natafuna madini adimu kabisa hapa,hongereni wanhangiaji,wengine sisi ni makinda tuna meza tu nyi wakongwe tafuneni tu
Mkuu hata mimi ni kinda, ila code zao nazing'amua kimtindo hakuna ambapo nipo nyuma. Heko kwa wahenga wote wa huu uzi.
 
Mkuu kuna kitu naomba unipe mwanga kama unao,kabla ya kifo cha Mtikila kati ya watu ambao aliwaandama sana alikuwa El lakini sio tu kumuandama bali kum-link na plan ya Tutsi empire kwamba anatumika na PAKA..hii imekaeje?
 
Nimekusoma mkuu
 
Nakumbuka alizikwa Kate huko,na msururu wa magari,alikuwa ni mtu wa system huyu jamaa,alikumbuka kujenga kwao maana wafipa ni Mara chache kujenga nyumbani,ila sikuwa na muda wa kufuatilia nini kilimuua tuendelee tu na DR kwanza...

Huyu Walingozi miaka ya nyuma niliwahi pita Namanyere pale mwanzoni mwa miaka ya 2000 kukawa kuna nyumba moja nzuri kuliko zote kwa kipindi hicho inajengwa nikaambiwa ni yake lakini hv kama mwezi umepita nimepita kule nimeona ile nyumba maskini haikumaliziwa vizuri yaani hovyo kabisa imepauka tu nadhani mauti yalimfika kabla.

Bahati mbaya sijawahi jua chochote kumhusu zaidi ya kuambiwa ni mtu wa sys hata kifo chake nikajua ni kawaida tu.
Ila niliambiwa alijenga nyumba nyingine kiijini kwao huko Kate ipo juu ya mlima hivi..
 
Nje kidogo ya mada.

Hivi kwa nini hawa makamu wa rais toka zanzibar wanakuwaga maboya? Yaani hawana ile ladha ya uongozi. Kuanzia Abdul Wakili, marehemu Dr Omary Alli Juma, Dr Shein, Ghraibu Bilali mzèe wa mikasi na huyu mama samia Suluhu. Yaani sijui nieleze vp.

Uwezi kujua kama ni wapole, hotuba zao hazina ladha zimepoa yaani ccm wanatuletea watu wa ajabu kweli. Kama Bilali ndio alikuwa mzigo kabisa.

Kwenye topic ni kwamba target alikuwa Joseph kabila. Lakini kutokana na uboya wa Dr Omary alishindwa kungamua mwishowe akabadilishiwa sahani/glass na kunywa/kula sumu iliyotakiwa kumuua Kabila. Nashangaa system walishindwaje kumwepusha na huu mtego.
 
Mkuu kuna kitu naomba unipe mwanga kama unao,kabla ya kifo cha Mtikila kati ya watu ambao aliwaandama sana alikuwa El lakini sio tu kumuandama bali kum-link na plan ya Tutsi empire kwamba anatumika na PAKA..hii imekaeje?
Mkuu Mtikila aliuawa na kundi la Elcadron De La Mort " A well trained secret soldiers of Slim thugh deployed in Great Lakes and even SA to attack anyone seemed as threat enemy of Mr Slim . Hayo ya mmasai sina uhakika
 
naitamani hiyo ya dada Amina Chifupa aisee mana niliumia sana alivyoteseka hadi umauti [emoji22]
 
Shawn Stockman, Wanya Morris,Nathan Morris, Michael McCary na Marc Nelson
Hapo ndipo tu mmempoteza huyo mtanzania alietaka kujua nimecheka sana kwa kweli.
Na huyo Wanya Morris ndio alikuwa anamgonga Brandy Norwood
Mtafanya jamaa ahamie mazima kule kwa Mack Zuk na asirudi tena . Jf rahaa kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…