Mr Miller
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 11,449
- 25,768
Ro.maRoma + Stamina =
Stam.ina [emoji20][emoji20][emoji20] Okay!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ro.maRoma + Stamina =
long story short:-Mkuu pipi mti karma ni adhabu ambaye wewe unalipwa kulingana na kitu ulichofanya duniani either mbaya au nzuri mf: Umemdhulumu bwana Pohamba au lusungo hela zake basi wakakuambia Mungu anakuona na malipo ni hapa hapa duniani basi akitokea mtu mwingine nawewe akakudhulumu kiasi cha pesa kile au zaidi basi tunaita KARMA . Am standing for correction.
pemgine humjui vema Gharib Billal na upande wake wa pili wa shilingi.Nje kidogo ya mada.
Hivi kwa nini hawa makamu wa rais toka zanzibar wanakuwaga maboya? Yaani hawana ile ladha ya uongozi. Kuanzia Abdul Wakili, marehemu Dr Omary Alli Juma, Dr Shein, Ghraibu Bilali mzèe wa mikasi na huyu mama samia Suluhu. Yaani sijui nieleze vp.
Uwezi kujua kama ni wapole, hotuba zao hazina ladha zimepoa yaani ccm wanatuletea watu wa ajabu kweli. Kama Bilali ndio alikuwa mzigo kabisa.
Kwenye topic ni kwamba target alikuwa Joseph kabila. Lakini kutokana na uboya wa Dr Omary alishindwa kungamua mwishowe akabadilishiwa sahani/glass na kunywa/kula sumu iliyotakiwa kumuua Kabila. Nashangaa system walishindwaje kumwepusha na huu mtego.
Long Live JFKikubwa zaidi tuendelee kumshukuru ikibidi kumchangia gharama za uendeshaji boss Maxence Melo ili Jf iendelee kutuhabarisha mengi ambayo hatuyajui .
Jf inatusaidia kupata habari za huko nyumbani utafikiri tupo Segerea sheli Oilcom wakati tupo huku. Long Live Jf.
Najua yoote hayo mkuu. Kama ulivyomalizia ndio walivyo. Kwenye uongozi huku bara kwa kweli hawa jamaa wamepwaya.pemgine humjui vema Gharib Billal na upande wake wa pili wa shilingi.
Gharib Billal akiwa Waziri Kiongozi katika Serikali ya Salmin Amour " Komandoo " wote kwa pamoja walitawala kwa mabavu na mkono wa chuma. Waliwatesa Wapemba kwa kiwango cha hali ya juu sana mpaka wengine wakakimbia kisiwa. Mojawapo ni kesi ya Uhaini waliobambikiwa Maalim Seif pamoja na Hamad Rashid.
Gharib alijua baada ya Salmin kumaliza hatamu yake kijiti angeachiwa yeye, kumbe haikuwa hivyo akapewa Karume Jr akatawala miaka 10 yake ikaisha.
Alipomaliza Karume, Gharib akahisi atapewa yeye nchi, ila wazee wa Bara wakamuweka Shein halafu wakamleta Gharib Billal huku Bara ili awe makamu wa Rais ili amuache Shein atawale vizuri kule Zenji.
Na kama ujuavyo, Mzenji hata awe mbabe kiasi gani akija Bara anakuwa Mnyonge!
Ngoja niishie hapa!
Karma is a b!tchWakuu vipi kuhusu karma?hiki ni kitu gani?
mmh![emoji20]Currently nipo Russia kwa issues flani though I am dwelling in Solles Sweden. Karibu Sana
Huyo Salmin Amour ameshaanza kulipia ubabe wake aliowafanyia Wapemba.pemgine humjui vema Gharib Billal na upande wake wa pili wa shilingi.
Gharib Billal akiwa Waziri Kiongozi katika Serikali ya Salmin Amour " Komandoo " wote kwa pamoja walitawala kwa mabavu na mkono wa chuma. Waliwatesa Wapemba kwa kiwango cha hali ya juu sana mpaka wengine wakakimbia kisiwa. Mojawapo ni kesi ya Uhaini waliobambikiwa Maalim Seif pamoja na Hamad Rashid.
Gharib alijua baada ya Salmin kumaliza hatamu yake kijiti angeachiwa yeye, kumbe haikuwa hivyo akapewa Karume Jr akatawala miaka 10 yake ikaisha.
Alipomaliza Karume, Gharib akahisi atapewa yeye nchi, ila wazee wa Bara wakamuweka Shein halafu wakamleta Gharib Billal huku Bara ili awe makamu wa Rais ili amuache Shein atawale vizuri kule Zenji.
Na kama ujuavyo, Mzenji hata awe mbabe kiasi gani akija Bara anakuwa Mnyonge!
Ngoja niishie hapa!
wakati mwingine nasoma comment humu hadi mwili umasisimka ila kawaida tu ndo uanaume na maisha, lazima tuwe majasiri.Hahahahahah...huu uzi unachangiwa na those who got balls....i mean BALLS
Dah kama sinema vileAnaitwa Imran Kombe, alipigwa Risasi 14 kifuani na Askari wa Jeshi la Polisi kwa Madai ya kufafanisha gari aliyokuwemo na iliyoibiwa!
Sina Immunity ya kutoshughulikiwa ndio sababu sitofunguka zaid Mkuu
Wa pili mikono yake iko swafi.....Kuanzia wa kwanza wamefanya mengi gizani, sijui wa 2 sijapata mikanda yake
Achana nae huyo....usimuamshe bado kalala.Una uhakika gani kama hawa wanaoandika hapa sio hao uliowataja?
kwa hiyo wakat wanasafiri kutoka Dom bodyguard wa pm hakuwepo kwa hyo pm kwenye gari lake alikuwa yeye na nani?He was himself Imran Kombe who ordered PM bodyguard to heard to Dar instead of accompany the Premier towards Monduli sasa umeshapata jibu kuwa DG alikuwa nani .

Mkuu ndomana Mungu akaweka siku maalum ya hukumu....episodes zetu wote zitaishia kule the point of no return Kwa Mungu Muumbaji.Nje kidogo ya mada.
Hivi kwa nini hawa makamu wa rais toka zanzibar wanakuwaga maboya? Yaani hawana ile ladha ya uongozi. Kuanzia Abdul Wakili, marehemu Dr Omary Alli Juma, Dr Shein, Ghraibu Bilali mzèe wa mikasi na huyu mama samia Suluhu. Yaani sijui nieleze vp.
Uwezi kujua kama ni wapole, hotuba zao hazina ladha zimepoa yaani ccm wanatuletea watu wa ajabu kweli. Kama Bilali ndio alikuwa mzigo kabisa.
Kwenye topic ni kwamba target alikuwa Joseph kabila. Lakini kutokana na uboya wa Dr Omary alishindwa kungamua mwishowe akabadilishiwa sahani/glass na kunywa/kula sumu iliyotakiwa kumuua Kabila. Nashangaa system walishindwaje kumwepusha na huu mtego.
Acha uongo broo. Dr alikufa mwezi Julai kunako 2001. Mchana wa siku ya mauti yake alikua ktk uzinduzi wa maonesho ya sabasaba. Msiturejeshe nyuma tafadhalisio kwamba mimi ni kilaza, nimeshindwa kuelewa sabasaba na tarehe saba mwezi wa nne vinaingilianaje? mweshimiwa alikufa tarehe saba mwezi wa nne , ila kinachojadiliwa huku ni maonyesho ya sabasaba na target alikuwa ni M7 siku ya tarehe nne mwezi wa saba. mwenye atueleweshe