Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma

long story short:-

"what goes around comes around"
 
pemgine humjui vema Gharib Billal na upande wake wa pili wa shilingi.

Gharib Billal akiwa Waziri Kiongozi katika Serikali ya Salmin Amour " Komandoo " wote kwa pamoja walitawala kwa mabavu na mkono wa chuma. Waliwatesa Wapemba kwa kiwango cha hali ya juu sana mpaka wengine wakakimbia kisiwa. Mojawapo ni kesi ya Uhaini waliobambikiwa Maalim Seif pamoja na Hamad Rashid.

Gharib alijua baada ya Salmin kumaliza hatamu yake kijiti angeachiwa yeye, kumbe haikuwa hivyo akapewa Karume Jr akatawala miaka 10 yake ikaisha.

Alipomaliza Karume, Gharib akahisi atapewa yeye nchi, ila wazee wa Bara wakamuweka Shein halafu wakamleta Gharib Billal huku Bara ili awe makamu wa Rais ili amuache Shein atawale vizuri kule Zenji.

Na kama ujuavyo, Mzenji hata awe mbabe kiasi gani akija Bara anakuwa Mnyonge!

Ngoja niishie hapa!
 
Najua yoote hayo mkuu. Kama ulivyomalizia ndio walivyo. Kwenye uongozi huku bara kwa kweli hawa jamaa wamepwaya.
 
Du huu uzi kama ni biashara basi mleta mada kauza sana imetread sana na hii inatokana na sintofaham nyngi zinazotokea ndani ya nchi yetu. Na hili linanithibishia kauli ya rafiki yngu moja aliwakuniambia kuwa Intelligencia ya nchi ndo inaamua nani awe rais nani anapaswa kuendelea kuwa hai ndani ya nchi na nani aondoke. Achilia mbali mambo ya uwepo was Mungu
 
Huyo Salmin Amour ameshaanza kulipia ubabe wake aliowafanyia Wapemba.

Amepoteza uwezo wa kuona yaani ni kipofu!

Mungu ni wetu sote!
 
Anaitwa Imran Kombe, alipigwa Risasi 14 kifuani na Askari wa Jeshi la Polisi kwa Madai ya kufafanisha gari aliyokuwemo na iliyoibiwa!
Sina Immunity ya kutoshughulikiwa ndio sababu sitofunguka zaid Mkuu
Dah kama sinema vile
 
He was himself Imran Kombe who ordered PM bodyguard to heard to Dar instead of accompany the Premier towards Monduli sasa umeshapata jibu kuwa DG alikuwa nani .
kwa hiyo wakat wanasafiri kutoka Dom bodyguard wa pm hakuwepo kwa hyo pm kwenye gari lake alikuwa yeye na nani?
 
He was himself Imran Kombe who ordered PM bodyguard to heard to Dar instead of accompany the Premier towards Monduli sasa umeshapata jibu kuwa DG alikuwa nani .
kwa hiyo wakat wanasafiri kutoka Dom bodyguard wa pm hakuwepo kwa hyo pm kwenye gari lake alikuwa yeye na nani?
 
Mkuu ndomana Mungu akaweka siku maalum ya hukumu....episodes zetu wote zitaishia kule the point of no return Kwa Mungu Muumbaji.
 
Acha uongo broo. Dr alikufa mwezi Julai kunako 2001. Mchana wa siku ya mauti yake alikua ktk uzinduzi wa maonesho ya sabasaba. Msiturejeshe nyuma tafadhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…