Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma

Bongo wapo ndio...
I.T experts aiseeee kweli hii mambo si mchezo.
Mkuu kwahiyo unamaanisha, hapa kwetu hatuna I.T experts mpaka tukakodi nje? kama ni hivyo hivi vyuo vifungwe sasa, havina maana ya kuwepo .
 
Boys2 men...ni kina nani

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu Mtikila aliuawa na kundi la Elcadron De La Mort " A well trained secret soldiers of Slim thugh deployed in Great Lakes and even SA to attack anyone seemed as threat enemy of Mr Slim . Hayo ya mmasai sina uhakika

Well trained secret soldiers?
1. Wapo ndani ya jeshi letu?
2. Wanaishi TZ?
3. Sys ya TZ inashindwa vp kuweka utaratibu wa kuwaondoa?
 
Muache kichwa chake kimejaa matope

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
utaanzajemkulundaniya huumwakaalienda?wan6akuwaombahao17swamsaidie wabongohawajuikazi
1. Oohh, unamaanisha alienda kuwaleta hao secret agents?
2. Wabongo hatujui kazi? Kazi zipi mkuu?
3. Bado siamini kwamba TZD haiwajui kabisaaa hawa secret agents
 
Mm toka jana nimeachana na huu uzi, yanayoelezwa yapo coded sana hadi huwez jua nani anazungumziwa..πŸ™‚πŸ™‚
BTW Ushaungwa jukwaa la dini..?
Haaa,haaa we mkuu nimekuheshimu sana kumbe tunabonga na wenye nchi??? Nashukuru sana bhana nimeshaungwa,, ubarikiwe
 
Ukiwa humu kwenye GT unatakiwa usikate tamaa mapema na ujitahidi kudicode hizo code ili uelewe kinachozungumzwa
kweli kabisa, hilo nimejifunza siku nyingi, huu Uzi mwanzoni kuna codes kama2 ziliniacha ila kwa kuwa ni mfuatiliaji sana wa siasa za bongo, baadae tulienda sawa,BT kuna kitu nakifuatilia Vice chair wa Chama dola bara alirudi vipi kwenye system wakati baada 2 ya boyz2men kuingia mjengoni walimsepesha bush na kuanza kusimamia mashamba?? Arirudi rudi vipi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…