Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma

Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma

Bongo wapo ndio...
I.T experts aiseeee kweli hii mambo si mchezo.
Mkuu kwahiyo unamaanisha, hapa kwetu hatuna I.T experts mpaka tukakodi nje? kama ni hivyo hivi vyuo vifungwe sasa, havina maana ya kuwepo .
 
Anhaa kwa hiyo tuseme Mr clean aliamua kulipa kisas kwa kutokubal boys2men waongoze tena maana ambaye angefuata hapo ni lowassa na inaonkna Mr clean alikua na hasira na mkwere so itakua walivurugana kwenye kamat sasa mkuu hebu tufikirie jee boys2men hawana mpango wa kusimamisha mgombea mwingne 2025 au ndo sizonje kapewa kazi ya kulitokomeza hili kundi?
Boys2 men...ni kina nani

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu Mtikila aliuawa na kundi la Elcadron De La Mort " A well trained secret soldiers of Slim thugh deployed in Great Lakes and even SA to attack anyone seemed as threat enemy of Mr Slim . Hayo ya mmasai sina uhakika

Well trained secret soldiers?
1. Wapo ndani ya jeshi letu?
2. Wanaishi TZ?
3. Sys ya TZ inashindwa vp kuweka utaratibu wa kuwaondoa?
 
Mantiki yako sijui nini haswa kuwa Amina Chifupa akuuawa na genge la drug dealers au ?
Kwamba Kolimba akuuawa ?
Kwamba Kighoma Malima akuuawa ?
Kwamba Sokoine died a natural death?
Kwamba Imran assassination was not planted?
Vipi kuhusu Mgimwa ?

Ngojea nikuache uenda nabishana Na chemistry with physics.
Muache kichwa chake kimejaa matope

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
Mm toka jana nimeachana na huu uzi, yanayoelezwa yapo coded sana hadi huwez jua nani anazungumziwa..🙂🙂
BTW Ushaungwa jukwaa la dini..?
Haaa,haaa we mkuu nimekuheshimu sana kumbe tunabonga na wenye nchi??? Nashukuru sana bhana nimeshaungwa,, ubarikiwe
 
Ukiwa humu kwenye GT unatakiwa usikate tamaa mapema na ujitahidi kudicode hizo code ili uelewe kinachozungumzwa
kweli kabisa, hilo nimejifunza siku nyingi, huu Uzi mwanzoni kuna codes kama2 ziliniacha ila kwa kuwa ni mfuatiliaji sana wa siasa za bongo, baadae tulienda sawa,BT kuna kitu nakifuatilia Vice chair wa Chama dola bara alirudi vipi kwenye system wakati baada 2 ya boyz2men kuingia mjengoni walimsepesha bush na kuanza kusimamia mashamba?? Arirudi rudi vipi??
 
Back
Top Bottom