Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma

chukua zege hiyo uichanganue...
 
Kuna mwalimu wangu mmoja wa sociology alinifubdisha kuwa moja ya sifa kubwa ya jamii masikini ni kutokukubali kuwa kuna natural death kwa binadamu. Kila kifo kina mtu nyuma yake.
Bila shaka hayo yalikuwa mawazo yake binafsi...
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji106]
 
Duuuh,sasa komba hayupo tena,nani atae tuimbie tana?.
 
Wew unaongea pumba kabsa, ebu nenda ulaya utajua MTU Hata Kama amekufa kwa ajali ya moto au Hata ajali watamchunguza tu wajue nn chanzo cha kifo coz inawezkana alikufa kabla ya kuungua n.k so unasema hao ni masikini
Elimu yenyewe ukute hadi anamaliza hajawahi kwenda hata makitaba, ila alielewa vitini na maneno ya mwalimu wake kama yalivyo...hiyo homework unayompatia hatakuelewa.
 
Duuuh,sasa komba hayupo tena,nani atae tuimbie tana?.
Kuna bendi ya chama mkuu uijui ? Komba nae aikuwa aondoke mapema vile ila kupitia mwanakitengo on going DG wa benki ya watu vijijini akaongezewa BP kwa kutaifisha mali zake mpaka bakili muluzi hapo tabata relini . Sijajua aliwakosea nini ndo hivo jamaa alizikwa Songea boys
 
kakojoe ulale....shubamiiiit
 
Mkuu, hebu thibitisha uvumi wako sasa ili nasie wahuku shambani tuelewe watu wasiojulikana ni akinanani
 
Kawadanganye wadogo zako wa fesibuku
 
Kuna rafiki yangu moja wakati nasoma shule ya upili Ilboru alikuwa anawahi sana kanisani (kumbuka ndani ya shule kuna kanisa la kkkt as long as shule ilikua ya walutheri kabla aijataifishwa) akajibu kuwa yeye ni kama zakayo anataka amuone Yesu ili amfariji na kumuombea baadae

Jamaa alikuwa TO kwani alinunuliwa na watu wa Feza yupo Uturuki huko mwanangu sana uenda tukakutana hapa Moscova mwakani. Alimaanisha vitu vingi sana , eleweni hivyo hivyo.

Samahani kwa maneno mengi bt you seemed to have signs of my friend I mentioned above. Keep it up dude.
 
Mkuu, hebu thibitisha uvumi wako sasa ili nasie wahuku shambani tuelewe watu wasiojulikana ni akinanani
Bwana mdogo tulia watu wasiojulikana hawajulikani kamwe na wakijulikana raia wa kawaida uwaondoa haraka kifupi tunawaita au tunaitwa undercover agents once tumekuwa covered ata boss anatukana kuwa hatujui so utasubiri sana kuwajua wasiojulikana for their own sake hawawezi kujulikana NEVER AND EVER
 
Kwahiyo mission nzima ya wasiojulikana from ng'ambo chattel boy anaijua sio? kama ndio basi mkwere kapigwa bao kitambo kumbe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…