Dr. kifo chake kinatoka na kuusika kwake na baadhi ya wafanya biashara wa mafuta. Mmoja wapo akiwa mfanya baashara maarufu wa morogoro wa kipindi hicho alikuwa ni mmiliki wa tim ya mpira moro united. mafuta yao walikuwa wanawauzia waasi wakongo kinyume cha sheria, dr alikuwa anatoa vibali ambavyo vinaonyesha serikali ya tanzania imekubali kufanya biashara na waasi hao wa kongo.
baada ya kabila kuyakamata magari ya mafuta ya tanzania na kukuta vibali vina sign ya dr. aliamua kuja mwenye tanzania na kumuonyesha mzee benja vibali vyote, kwamba inakuwaje waasi wanamsumbua kumbe yeye benja anawa suppot kwa kuwauzia mafuta?, Mzee ilimuuma sana hii kitu maana niaibu kubwa na ina hatarisha diplomasia. Mzee benja akaitisha kiako ambacho dr alikuwepo na kuelezwa ubaya wake na achague mwenye kifo chake ili kulinda aibu yake na ya tanzania. hii inatokana na viapo ambavyo viongozi wanaapishwa watailinda nchi kwa garama zozote bila kuitia kwenye mzozo wowote.