Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma

Duh ukihoji kwa undani utapata shida tu
 
Kabla ya kuwaza hivyo kumhusu Lowassa anza pia kuwaza kwanza kuhusu Dr. Slaa na Profesa Lipumba walikuwa ni wapinzani halisi, huku ukizingatia hao ndio ambao walikuwa nguzo kuu ya asili ya upinzani kabla ya Lowassa kuhamia upinzani na mmoja wapo alikuwa apeperushe bendera ya UKAWA nini waliwafanyia watanzania mwaka 2015 ambacho bado mpaka leo wanakiendeleza dhidi ya upinzani?

Kabla ya wewe kumwomba Aikaeli ampumzishe Lowassa, anza kwanza kumshauri Aikaeli amrejeshe Dr.Slaa kama unadhani siasa ni 1+1=2.
 
Issues ya babu Seya uongo mtupu nilikutana na mmoja ya watu waliounganishiwa kwenye kesi ila jamaa alichomoka
Picha lilichezwa tu pale
Kuna mahakimu walijitoa
Kuna maagizo walikuwa wanapewa na watu wasiojulikana
Ni hatari tupu
 
.....Unaharibu uzi wa watu, babu Seya anaingiaje hapa?
 
Anaitwa Imran Kombe, alipigwa Risasi 14 kifuani na Askari wa Jeshi la Polisi kwa Madai ya kufafanisha gari aliyokuwemo na iliyoibiwa!
Sina Immunity ya kutoahughulikiwa ndio sababu sitofunguka zaid Mkuu
Asante sana
 
Issue ya EL kwenda CDM ni sehemu ya karma pia kwaajili ya CCM!! Mkuu endelea na main content usihamishe mada!!
 
Anaitwa Imran Kombe, alipigwa Risasi 14 kifuani na Askari wa Jeshi la Polisi kwa Madai ya kufafanisha gari aliyokuwemo na iliyoibiwa!
Sina Immunity ya kutoahughulikiwa ndio sababu sitofunguka zaid Mkuu
Kweli ukali bado mzuri sana
 

2006 Jakaya alibadilisha kutoka kunyongwa mpaka kifungo cha Maisha

2012 wakaachiwa kwa Msamaha lakini yote hayo haya kuwa kwenye front page za Magazeti kwa kuwa Mtawala wa wakati huo alikuwa anajua ingeamsha Mjadala wa Imran Kombe namna alivyotutoka.

Ingekuwa Zama hizi sijui ingekuaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…