Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye google kuna setting ya lughaimetafsiriwa kiswahili au ni wikpedia ya kimombo?
I really miss the place . One day I will be back if God wishes.
Umentesa brother!
Hizo code ndio zinachangamsha uziUziii mwanzoni ulikuwa mtamu and so interesting ila Sasa code zimezidii ladha inapungua!
Ishu ya mb 3 colours na goms mpaka leo nikiifikiria napata walakini.how comes mzigo uko store alafu from nowhere tu ujiactivate na kuji missilelaiz na shrepnels na projectiles ziruke kwa umbali ule,nilihisigi kuna jambo nyuma ya pazia.Hivi ni kwann aliyekua "Clan de staff" kisha kupelekwa Opium war amezinguana na Chattlenian? unafaham scandal ya landrover 400 kuagizwa kupitia "clan"? ..
-Sponsor alimtwangia simu akamtengua kimya kimya akamuuliza unasepa lini umekula umeshiba..
BTW zawadi aluyopewa na vijana Wa Anjouan ndio GOmz na MB 3 colours!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu mwingine huyu[emoji116]![]()
Kuna habari huwa wahariri wanakula mlungula/vitisho zisitoke,nishawahi sikia kuna nakala ya gazeti fulani zilinunuliwa zote chapchap ili habari isisambae.enzi mambo ya mitandao sio sana kama hivi sasadah, ila aliyestaafu siasa uchwara aliona mbali haswa. Maana yeye aliicheza karata yake toka 2014. Huku akimuacha mwenziwe wa bariadi akikomaa na dude.
By the way aliitafuna sana nchi. Kuna habari moja niliisikia sikuamini. Ilikuwa ikimuhusisha Persian guy na opium iliyokuwa busted maeneo ya Pangani kwamba ilikuwa yake. Nkashangaa kwa nini haikuingia ktk media wakati opium ilitapakaa pwani kama mifuko ya sukari.
The QN is ataweza?maana nna Imani wenzie walishajipanga since wanampa Vasco da gama nchiNa team yote hiyo ya B2M ipo so relaxed in external environment lakini inside kuna cut-throat plans for 2025.
Na this is a big threat to Bulldozer, re-shuffle yote anayofanya ni kujenga base mpya...
Habari ndio hiyo na walikua wanatuma ujumbe kwa muhusika kwamba tumekuchoka ..unadhan kwann Pogba hawapendi wachaga??Ishu ya mb 3 colours na goms mpaka leo nikiifikiria napata walakini.how comes mzigo uko store alafu from nowhere tu ujiactivate na kuji missilelaiz na shrepnels na projectiles ziruke kwa umbali ule,nilihisigi kuna jambo nyuma ya pazia.
Hivi kwanza boyz2 men si wameisha sambaratika?The QN is ataweza?maana nna Imani wenzie walishajipanga since wanampa Vasco da gama nchi
Chato boy asije akashangaa anakatwa yeye wale boys2 men watoto wa mjini haswaa
Jamaa nilikutana naye forbiden city ukimuona kwa macho na jinsi alivyo huwezi kuhisi ni mtu wa mipango kiasi hicho,sema alibugi kweli kulamba dusko la vijana wake wa ile envoy ya kule kisiwa cha anko bekaHabari ndio hiyo na walikua wanatuma ujumbe kwa muhusika kwamba tumekuchoka ..unadhan kwann Pogba hawapendi wachaga??
Amezi distribute zile gari kwa kila KJ nchi nzima.. jiulize kuna vikosi vingapi!
ohooo..hukupaswa kuandika hicho..nn maana ya code?Jamaa nilikutana naye b**"g ukimuona kwa macho na jinsi alivyo mfupi huwezi kuhisi ni mtu wa mipango kiasi hicho,sema alibugi kweli kulamba dusko la vijana wake wa ile envoy ya ungazijani.
mkuu, once you play smart...chances za kukamatwa or to be detected zinakuwa minimal. what you should know...NEVER TRUST ANYONE.Hahaha over 15 times, haahaahh zote hizo unawaruka tu? hahaha we ndio kiboko yao sasa mkuu, zidi kumwaga nondo mkuu
Mkuu nimerekebisha.ohooo..hukupaswa kuandika hicho..nn maana ya code?
Noted.mkuu, once you play smart...chances za kukamatwa or to be detected zinakuwa minimal. what you should know...NEVER TRUST ANYONE.
Kipindi hicho, M8-1 was a threat to the entire EA. henceforth, vita ya Congo M8-1 ndo alikuwa mastermind na engineer mkuu. Along the way, walihitilafiana na Mr. Slim (slim thug) na wakachapana. Casualties walikuwa wengi kwa upande wa M8-1...kwani majeshi ya M8-1 yalikuwa ambushed bila wao kuwa tayari. Mr. slim anapenda hii staili ya ku-ambush kwani hawezi kushinda a clean fight. kuna kipindi Mmakuwa wa Tanga na nyika alinukuliwa akisema kuwa " viongozi wa maziwa makuu ndo chanzo cha vurugu" na wengi walinuna sana kwa kauli hiyo.Sababu ya m7 kuwa targeted ni nini?
Hiki mnachokifanya si kitendo cha kiungwana hata kidogo. Na hakukuwa na ulazima wa wewe kufanya ulilofanya.
Kiustaarabu tuu ungefuta hizo picha bila kujali kama mwenye hilo jina ndo huyo katik picha ama laa.