Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma

Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma

Nikiri nimekosea imejichanganya kimakosa
Naombeni radhi Ndugu zangu wote
Samahani
Sawa mkuu hii ndio busara kubwa kuliko zote kulikuwa na mzee moja alieamini kuwa safu zote za nchi anapanga yeye though hakuwa kwenye kigoda ila kwa kushirikiana na passion walifanikiwa ata pale aliporudisha chenjii pale anatoglou alijua tayari .

Ila kuna kitu mpaka kesho sitokuja kuiamini yaani mzee mstaafu yule wa dstv eti ndiye alikuwa mpanga mkakati ! Pale ndo nilisema hapana anyway tuangalie ligi za mass mengine yapo ndani sana.
 
Kilichomuuma zaidi ni kuwa amekaa Nuyok muda ila walipofka kwa wagogo wakamuambia we si mdanganyika wala huna ndui dah hili hawezi kulisahau kamwe unakumbuka kuwa ni miongoni mwa wanajopo kwenye zile tuzo za mudi za kupata best former president ?

Aliingia vasco kichwa kichwa na uzi ukaletwa hapa eti mara oh atachukua sisi tulikaa kimya kwani tulishajua kuwa nani ni judge pale ndo hivo vasco alikosa.
Pamoja na kukaa sana Nuyok zilitengenezwa fitna kwamba ndugu zake na azao wao wote uko huko arabuni mkuu.

Wakadai eti yeye sio mdanganyika na kwa vile kakaa sana nje ukizingatia miaka aliyokaa Adis Ababa akihudumu kama katibu mkuu wa Umoja wetu miaka ile eti hana exposure ya kutosha kuhusu Danganyika na haelewi vizuri wadanganyika na mazingira yao wanayoishi.

To make the matter worse na kupigilia msumari wa inchi sita kwenye jeneza ili ujue team ya Boyz II Men ni balaa wakadai eti jamaa na ndugu zake walihusika kwenye mauaji ya Sheik Karume hapo akawa hakuna namna.
 
Ishu ya mb 3 colours na goms mpaka leo nikiifikiria napata walakini.how comes mzigo uko store alafu from nowhere tu ujiactivate na kuji missilelaiz na shrepnels na projectiles ziruke kwa umbali ule,nilihisigi kuna jambo nyuma ya pazia.
Watu waliweka kibindoni faranga nyingi zilizotoka anjuania via envoy wao ambaye yupo huko nchini kilichowauma zaidi long shoes ni kuwa walijua mzigo umetoka na mzigo hauonekani wakasema bulshit yaliotokea ni historia ya vizazi vijavyo.
 
Hapa ndo mnakosea sasa ! Kuna majukwaa ya kufanya hayo uliotamka hapo juu . Ni ushauri tu mkuu kwa maslahi ya uzi huu maana unafuatiliwa na watu wengi sana.
Kuna watu wa ajabu..kama hana komenti kama Mimi kula nondo 'tulia'..
 
Nyingi nikianzisha jamaa Mr P na kaya yake uzivua kwa kokoro alafu hizi zinazohusu za watu wa njia panda ni ngumu sana angalia Passion alivopiga mkwanja ya maana via ashok lyland akala kona ebu itafute hiyo uzi kama utapata never.

Duh ukifikiria sana ndo zile frastesheni za chapamba.
kwahiyo ndio ulikua mwanzo Wa maigizo yake kumbe ni defensive mechanism wakim-label mtata??!
 
Watu waliweka kibindoni faranga nyingi zilizotoka anjuania via envoy wao ambaye yupo huko nchini kilichowauma zaidi long shoes ni kuwa walijua mzigo umetoka na mzigo hauonekani wakasema bulshit yaliotokea ni historia ya vizazi vijavyo.
zilikadiriwa kama Tr.2/= hata hivo Clan de staff aka envoy mstaafishwa alikua akiwalima long shoes tsh 150/= yani mia hamsini kwa each long shoe every month! wakasema aahhh usitutanie! mbwai mbwai!
 
Kilichomuuma zaidi ni kuwa amekaa Nuyok muda ila walipofka kwa wagogo wakamuambia we si mdanganyika wala huna ndui dah hili hawezi kulisahau kamwe unakumbuka kuwa ni miongoni mwa wanajopo kwenye zile tuzo za mudi za kupata best former president ?

Aliingia vasco kichwa kichwa na uzi ukaletwa hapa eti mara oh atachukua sisi tulikaa kimya kwani tulishajua kuwa nani ni judge pale ndo hivo vasco alikosa.
Duh..........I am stuned.
 
Luteni Jenerali Mstaafu Imran Kombe akiwa Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa aliwaonya Marais wa Rwand na Burundi kutopanda ndege moja kuelekea Rwanda kwakuwa alishapata fununu juu ya njama za kutaka kumuua Rais wa Rwanda wa kipindi hiko.Na kikundi kilichowaua Marais hao kikiongozwa na PK kilifahamika vema na Kombe.
Uchwara
 
Watu waliweka kibindoni faranga nyingi zilizotoka anjuania via envoy wao ambaye yupo huko nchini kilichowauma zaidi long shoes ni kuwa walijua mzigo umetoka na mzigo hauonekani wakasema bulshit yaliotokea ni historia ya vizazi vijavyo.
Hii code cjaielewa, nimeifuatilia tangu page ya 112 mpaka hapa 124 bado patupu.

Clan de staff
Opium leader nk
 
PK ni threat. Not sure why of all the heads pmjay anaonyesha trust kwa PK! Sasa copy paste inapitiliza, kufungua moto mchana kweupe kama vile pale karibu na makazi ya msaidizi wa kazi TZ kati hata kwa PK hiyo haijatokea. Huyu PK sio wa kumchukulia poa kwa asili ya watu wa kwetu ataleta gharama kubwa ya vitu ambavyo vikipotea havirudi.
 
Hii code cjaielewa, nimeifuatilia tangu page ya 112 mpaka hapa 124 bado patupu.

Clan de staff
Opium leader nk
Ndio clan de staff chapa lapa na rupee iliotolewa kama kifutia jasho na anjuanians via envoy hapo akazipeleka kwa akina OT kuzificha , baada ya soo kuwa soo clan de staff apelekwa manjuan dynast / opium war kama envoy.

Alichofanya na madhara yake ndo hivo wengine vilema kuanzia majitata mpaka kajungeni.
 
Shimbo na pesa za operation Commoro.
 
Pamoja na kukaa sana Nuyok zilitengenezwa fitna kwamba ndugu zake na azao wao wote uko huko arabuni mkuu.

Wakadai eti yeye sio mdanganyika na kwa vile kakaa sana nje ukizingatia miaka aliyokaa Adis Ababa akihudumu kama katibu mkuu wa Umoja wetu miaka ile eti hana exposure ya kutosha kuhusu Danganyika na haelewi vizuri wadanganyika na mazingira yao wanayoishi.

To make the matter worse na kupigilia msumari wa inchi sita kwenye jeneza ili ujue team ya Boyz II Men ni balaa wakadai eti jamaa na ndugu zake walihusika kwenye mauaji ya Sheik Karume hapo akawa hakuna namna.
Walimdhulum sana Dk. Salim A Salim 2005
 
Grayson alihusika hata kuwadhulumu akina Twaha wa duniani hadi wakaja kuanzisha good citizen
Twaha Mwenyewe alikuwa boys2men na kilichomkosesha Cheo ni kujitia mjuaji sana mbele ya Yule Muiran

Yeye na Yule Tindo wa Lambalamba TV wali play part kubwa sana kuchafua Watu lakin Karma haiku betray principle yake kwao
 
Back
Top Bottom