Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma

Ishu ya mb 3 colours na goms mpaka leo nikiifikiria napata walakini.how comes mzigo uko store alafu from nowhere tu ujiactivate na kuji missilelaiz na shrepnels na projectiles ziruke kwa umbali ule,nilihisigi kuna jambo nyuma ya pazia.
 
Kuna habari huwa wahariri wanakula mlungula/vitisho zisitoke,nishawahi sikia kuna nakala ya gazeti fulani zilinunuliwa zote chapchap ili habari isisambae.enzi mambo ya mitandao sio sana kama hivi sasa
 
Na team yote hiyo ya B2M ipo so relaxed in external environment lakini inside kuna cut-throat plans for 2025.

Na this is a big threat to Bulldozer, re-shuffle yote anayofanya ni kujenga base mpya...
The QN is ataweza?maana nna Imani wenzie walishajipanga since wanampa Vasco da gama nchi
Chato boy asije akashangaa anakatwa yeye wale boys2 men watoto wa mjini haswaa
 
Ishu ya mb 3 colours na goms mpaka leo nikiifikiria napata walakini.how comes mzigo uko store alafu from nowhere tu ujiactivate na kuji missilelaiz na shrepnels na projectiles ziruke kwa umbali ule,nilihisigi kuna jambo nyuma ya pazia.
Habari ndio hiyo na walikua wanatuma ujumbe kwa muhusika kwamba tumekuchoka ..unadhan kwann Pogba hawapendi wachaga??

Amezi distribute zile gari kwa kila KJ nchi nzima.. jiulize kuna vikosi vingapi!
 
The QN is ataweza?maana nna Imani wenzie walishajipanga since wanampa Vasco da gama nchi
Chato boy asije akashangaa anakatwa yeye wale boys2 men watoto wa mjini haswaa
Hivi kwanza boyz2 men si wameisha sambaratika?
 
Habari ndio hiyo na walikua wanatuma ujumbe kwa muhusika kwamba tumekuchoka ..unadhan kwann Pogba hawapendi wachaga??

Amezi distribute zile gari kwa kila KJ nchi nzima.. jiulize kuna vikosi vingapi!
Jamaa nilikutana naye forbiden city ukimuona kwa macho na jinsi alivyo huwezi kuhisi ni mtu wa mipango kiasi hicho,sema alibugi kweli kulamba dusko la vijana wake wa ile envoy ya kule kisiwa cha anko beka
 
Sababu ya m7 kuwa targeted ni nini?
Kipindi hicho, M8-1 was a threat to the entire EA. henceforth, vita ya Congo M8-1 ndo alikuwa mastermind na engineer mkuu. Along the way, walihitilafiana na Mr. Slim (slim thug) na wakachapana. Casualties walikuwa wengi kwa upande wa M8-1...kwani majeshi ya M8-1 yalikuwa ambushed bila wao kuwa tayari. Mr. slim anapenda hii staili ya ku-ambush kwani hawezi kushinda a clean fight. kuna kipindi Mmakuwa wa Tanga na nyika alinukuliwa akisema kuwa " viongozi wa maziwa makuu ndo chanzo cha vurugu" na wengi walinuna sana kwa kauli hiyo.
M8-1 is genius na aliwazidi akili viongozi wengine wa kipindi hicho. hivyo basi, by eliminating him...Congo war ingekuwa ndo tamati yake. kumbuka, M8-1 ndo alikuwa anavuna mbao nyingi na madini mengi huko DRC. Ngoja niishie hapa ila kuna issues nyingi sana...nyuma ya pazia
 
Hiki mnachokifanya si kitendo cha kiungwana hata kidogo. Na hakukuwa na ulazima wa wewe kufanya ulilofanya.

Kiustaarabu tuu ungefuta hizo picha bila kujali kama mwenye hilo jina ndo huyo katik picha ama laa.

Unachafua thread!.

Kama umeona kaandika utahira na wewe usingejazia ujinga wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…