Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma

Hivi ishu ya mangula mbona inafichwa fichwa sn.......Nani mccm kamlisha sumu?
 
Hatari sn hizi sirikali
Hilo sii jambo dogo mkuu, ndio maana wana siasa & wafanya biashara walioiva wako radhi kufanya lolote ili kulinda maslahi yao & kujilinda wao wenyewe

Kumbuka nafasi za kisiasa huwa ni chache na ili uipate lazima wengine waikose, vivyo hivyo na kwenye biashara
 
Sure mkuu wangu
 
Anaitwa Imran Kombe, alipigwa Risasi 14 kifuani na Askari wa Jeshi la Polisi kwa Madai ya kufafanisha gari aliyokuwemo na iliyoibiwa!
Sina Immunity ya kutoshughulikiwa ndio sababu sitofunguka zaid Mkuu
😂
 
what does this mean?
 
Sijaelewa huo utata sasa!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anaitwa Imran Kombe, alipigwa Risasi 14 kifuani na Askari wa Jeshi la Polisi kwa Madai ya kufafanisha gari aliyokuwemo na iliyoibiwa!
Sina Immunity ya kutoshughulikiwa ndio sababu sitofunguka zaid Mkuu
Mkuu yaonesha wajua mengi sana kuhusu hiki kisa, naomba utupe hizo taarifa ili tuondoe zile za kuambiwa ambiwa enzi zile tukio lilipojiri
 
Jana ilikuwa kumbukizi ya kifo chake, but nobody gives a fvck anymore!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…