Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku zote mwana siasa na mfanya biashara huwa hawana adui mmoja, hivyo kujua adui gani aliyekushambulia ni ngumu labda uwe na mashushu wa hali ya juuHivi ishu ya mangula mbona inafichwa fichwa sn.......Nani mccm kamlisha sumu?
Hatari sn hizi sirikaliSiku zote mwana siasa na mfanya biashara huwa hawana adui mmoja, hivyo kujua adui gani aliyekushambulia ni ngumu labda uwe na mashushu wa hali ya juu
Hilo sii jambo dogo mkuu, ndio maana wana siasa & wafanya biashara walioiva wako radhi kufanya lolote ili kulinda maslahi yao & kujilinda wao wenyeweHatari sn hizi sirikali
Sure mkuu wanguHilo sii jambo dogo mkuu, ndio maana wana siasa & wafanya biashara walioiva wako radhi kufanya lolote ili kulinda maslahi yao & kujilinda wao wenyewe
Kumbuka nafasi za kisiasa huwa ni chache na ili uipate lazima wengine waikose, vivyo hivyo na kwenye biashara
😂Anaitwa Imran Kombe, alipigwa Risasi 14 kifuani na Askari wa Jeshi la Polisi kwa Madai ya kufafanisha gari aliyokuwemo na iliyoibiwa!
Sina Immunity ya kutoshughulikiwa ndio sababu sitofunguka zaid Mkuu
Hakuwa Museveni, ilikuwa Joseph Kabila ilikuwa kwny Maonesho ya Sabasaba I it was 2001
Alifariki saa 6 usiku Nyumbani kwake Ostybay baada ya kutoka kwny Maonesho ya Sabasaba !
Hii Nchi ni kisiwa cha Amani
1) 1972 tulipoteza Rais Kwa Risasi
2) 1984 tukapoteza Waziri Mkuu kwa ajali
3)1996 Tukapoteza Mkuu wa Usalama wa Taifa kwa Risasi
4) 2001 tukapoteza Makamu wa Rais kwa sababu isiyojulikana
Sijaelewa huo utata sasa!!Watu wanasahau tu ila Museveni ni mtu mbaya sana!
Inadaiwa kuwa sumu iliyopaswa imuue moja kwa moja baada ya kutoka kwenye ziara pale Kilwa Road kwenye sabasaba, hatimaye ikammaliza daktari wa mifugo kutoka huko Pemba.
Ni nani aliediverge hii issue na hatimae kuondoka na Dkt Omary deceased?
Tanzania kuna mengi ila it is claimed that Museveni was planted to rest in hell before things change during that time 13:00, 4/7/2001.
Ngoja nimalizie kunywa spirit iniondolee baridi maana nashindwa kuandika.
Mkuu yaonesha wajua mengi sana kuhusu hiki kisa, naomba utupe hizo taarifa ili tuondoe zile za kuambiwa ambiwa enzi zile tukio lilipojiriAnaitwa Imran Kombe, alipigwa Risasi 14 kifuani na Askari wa Jeshi la Polisi kwa Madai ya kufafanisha gari aliyokuwemo na iliyoibiwa!
Sina Immunity ya kutoshughulikiwa ndio sababu sitofunguka zaid Mkuu
Utarudi kusoma ama kutoa nondo za mada hii
Umeona eeeeehAliyeandika 4/7/2001 nafikiri yuko USA maana wanaanza na mwezi, siku, mwaka
Yenye tungo tata.Hapa kuna mengi.
che nkapa... che nkapa dah [emoji17]