Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji15][emoji15][emoji15]Mambo yaliyo tokea kwa Marehemu hakika ni vigumu sana kuja kufutika kwa haraka katika fikra na kumbukumbu za former sponsor's personal doctor ilikua siku mbaya saana hali ilipoanza kubadilika najua hawezi kusema chochote Ila ipo siku atawasimulia wajukuu zake safari za kutoka Ferry mpka kwa Emilio ilionekana kama ni safari ya kwenda Dar to Mwanza tena kupitia Sekenke ya enzi hizo kwanza mabishano na vikao vya hapa na pale juu ya nini kifanyike ilikua siku mbaya sana kwa mtaalamu huyu najua mpaka sasa ingawaje yupo leave but hayupo vizuri vijana wa St Peters ni wabishi sana Ila walijitoa maisha yao kumuokoa Sponsor .
Pole sana Mama Janeth na familia kwa ujumla .
"Jee boys2 boys2men hawana mpango wa kusimamisha mgombea mwingne 2025 au ndo sizonje kapewa kazi ya kulitokomeza hili kundi?" RESPECT BABA SWALEHE, swali lako ni fikirishi ususani nyakati hiziAnhaa kwa hiyo tuseme Mr clean aliamua kulipa kisas kwa kutokubal boys2men waongoze tena maana ambaye angefuata hapo ni lowassa na inaonkna Mr clean alikua na hasira na mkwere so itakua walivurugana kwenye kamat sasa mkuu hebu tufikirie jee boys2men hawana mpango wa kusimamisha mgombea mwingne 2025 au ndo sizonje kapewa kazi ya kulitokomeza hili kundi?
Huyu dada anapiga nyundo za kichwa hatari. Niliweka Uzi humu kuuliza yeye ni nani Mods wakapita nao dakika sifuli.EMBU MFOLLOW VERONICA FRANCE KWA FB
ANA DATA ZOTE HADI ZA 200 BC
KabisaHuyu dada anapiga nyundo za kichwa hatari. Niliweka Uzi humu kuuliza yeye ni nani Mods wakapita nao dakika sifuli.
Haya Mambo haya unaweza ukadhani ikulu nzima imetegeshwa vifaa vya kuvujisha taarifa ndo maana mzee JIWE akawa anajenga nyingine.
Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
BalaaaaaaaaaHuyu dada anapiga nyundo za kichwa hatari. Niliweka Uzi humu kuuliza yeye ni nani Mods wakapita nao dakika sifuli.
Haya Mambo haya unaweza ukadhani ikulu nzima imetegeshwa vifaa vya kuvujisha taarifa ndo maana mzee JIWE akawa anajenga nyingine.
Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Waliniudhi Sana Basi tu ndo wenye mamlaka.Moderator achieni uzi wa VERONICA FRANCE ni nani ILI tuuenzi
Uliandikaje
Niliandika VERONICA FRANCE NI NANI?Uliandikaje
Ni pm na copy
PoapoaNiliandika VERONICA FRANCE NI NANI?
copy siioni maana mkifuta tu kila kitu kinaenda ila heading ilikuwa inasomeka hivyo.
Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
hata wewe JESUIT MASTER umeshindwa ku-crack codes na kumjua huyo mwana-dada?Moderator achieni uzi wa VERONICA FRANCE ni nani ILI tuuenzi
Sasa mkuu kumbe mnamjua?hata wewe JESUIT MASTER umeshindwa ku-crack codes na kumjua huyo mwana-dada?
poor Jiwe!!!!Huyu dada anapiga nyundo za kichwa hatari. Niliweka Uzi humu kuuliza yeye ni nani Mods wakapita nao dakika sifuli.
Haya Mambo haya unaweza ukadhani ikulu nzima imetegeshwa vifaa vya kuvujisha taarifa ndo maana mzee JIWE akawa anajenga nyingine.
Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Jesuits huwa hawashindwi kitu hata kiwe kigumu kiasi gani, sasa wewe Jesuit Master tena halafu unashindwa kweli tena kilaini kabisa!Sasa mkuu kumbe mnamjua?
Hebu nakuomba pm Mara moja chief...
[emoji2969][emoji2969]
Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app