Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma

Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma

Mambo yaliyo tokea kwa Marehemu hakika ni vigumu sana kuja kufutika kwa haraka katika fikra na kumbukumbu za former sponsor's personal doctor ilikua siku mbaya saana hali ilipoanza kubadilika najua hawezi kusema chochote Ila ipo siku atawasimulia wajukuu zake safari za kutoka Ferry mpka kwa Emilio ilionekana kama ni safari ya kwenda Dar to Mwanza tena kupitia Sekenke ya enzi hizo kwanza mabishano na vikao vya hapa na pale juu ya nini kifanyike ilikua siku mbaya sana kwa mtaalamu huyu najua mpaka sasa ingawaje yupo leave but hayupo vizuri vijana wa St Peters ni wabishi sana Ila walijitoa maisha yao kumuokoa Sponsor .

Pole sana Mama Janeth na familia kwa ujumla .
Hizi code nyoko aise
 
Hakuwa Museveni, ilikuwa Joseph Kabila ilikuwa kwny Maonesho ya Sabasaba I it was 2001
Alifariki saa 6 usiku Nyumbani kwake Ostybay baada ya kutoka kwny Maonesho ya Sabasaba !

Hii Nchi ni kisiwa cha Amani
1) 1972 tulipoteza Rais Kwa Risasi
2) 1984 tukapoteza Waziri Mkuu kwa ajali
3)1996 Tukapoteza Mkuu wa Usalama wa Taifa kwa Risasi
4) 2001 tukapoteza Makamu wa Rais kwa sababu isiyojulikana
rais gani alitiwa risasi? hapo namba 1?
 
Hakuwa Museveni, ilikuwa Joseph Kabila ilikuwa kwny Maonesho ya Sabasaba I it was 2001
Alifariki saa 6 usiku Nyumbani kwake Ostybay baada ya kutoka kwny Maonesho ya Sabasaba !

Hii Nchi ni kisiwa cha Amani
1) 1972 tulipoteza Rais Kwa Risasi
2) 1984 tukapoteza Waziri Mkuu kwa ajali
3)1996 Tukapoteza Mkuu wa Usalama wa Taifa kwa Risasi
4) 2001 tukapoteza Makamu wa Rais kwa sababu isiyojulikana
2021 - Tukapoteza rais kwa covid 😱
 
Interesting. Ila you do not make an attempt kwa mgeni wako ambaye pia ni rais wa nchi nyingine, hii haimezeki. Common sense tu, waganda wasingetusamehe kamwe, hata kama jaribio hilo halikutimia.
 
Sio kwamba alimunderestimate, wanajisahau wakizani zile power walizokuwa nazo bado zipo, hili kosa pia mkwere alilifanya kwa sizonje ila alipobipiwa faster akarudi kwenye mstali, sasa imebaki anatoa mipasho tu.
Nani mshindi wa hiyo mechi? Jogoo la shamba au jogoo la mjini?
 
Back
Top Bottom