Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma

[emoji15][emoji15][emoji15]
 
EMBU MFOLLOW VERONICA FRANCE KWA FB



ANA DATA ZOTE HADI ZA 200 BC
 
Haaaaaah. Eti maiti zina sonyana tuu huko kwa soil. Kumbe kigogo 2014 yupo pia JF.
Asante ¤
 
"Jee boys2 boys2men hawana mpango wa kusimamisha mgombea mwingne 2025 au ndo sizonje kapewa kazi ya kulitokomeza hili kundi?" RESPECT BABA SWALEHE, swali lako ni fikirishi ususani nyakati hizi
 
EMBU MFOLLOW VERONICA FRANCE KWA FB



ANA DATA ZOTE HADI ZA 200 BC
Huyu dada anapiga nyundo za kichwa hatari. Niliweka Uzi humu kuuliza yeye ni nani Mods wakapita nao dakika sifuli.

Haya Mambo haya unaweza ukadhani ikulu nzima imetegeshwa vifaa vya kuvujisha taarifa ndo maana mzee JIWE akawa anajenga nyingine.

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
 
Kabisa
 
Balaaaaaaaaa
 
2021 Naona Kampeni za 2025 zishaanza ukiwa na bahati mbaya kama ni matope lazima yakurukie tu (iwe kweli au sio kweli)..., Anyway that's Politics
 
poor Jiwe!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…