Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma

Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma

Ipo siku huu ukweli utakuja kuwekwa wazi hata ipite miaka miambili nakumbuka hiyo documentary ilitoka mwanzo wa utawala wa mkwere
Nilipata kuiona hiyo documentary, watu waliokuwa wanahojiwa ni wakawaida kabisa kama vile wabeba mizigo na makahaba ambao walionekana kufahamu kuwa zile ndege zinazoijia minofu ya samaki hubeba siraha pia, haina tofauti na ile blood diamond ya Charles Taylor ndege zinazoijia almas ndo zilibeba siraha!
 
Mkuu ukiendelea hebu uanzie pale uliposema maiti ilipasuka uwanja wa taifa maana ulisema halafu ukapotea maana hili limekuwa geni kwelikweli

Yaani leo sijatoka kwenye huu uzi
Akishakueleza hayo muambie agusie nini ilikuwa chanzo cha kuvunjika kwa ubao wa kaburini kule Butihama alipozuru Mr Ukweli na uwazi ?

Tambiko gani ilifanywa mpaka mi mizimu waliompeleka Mr Clean Ulaya ukamrudisha akiwa hai huku akijikongoja ?
 
Akishakueleza hayo muambie agusie nini ilikuwa chanzo cha kuvunjika kwa ubao wa kaburini kule Butihama alipozuru Mr Ukweli na uwazi ? Tambiko gani ilifanywa mpaka mi mizimu waliompeleka Mr Clean Ulaya ukamrudisha akiwa hai huku akijikongoja ?

Mkuu unaweza jazia kidogo kwenye hili.
 
Vasco da Gama Ni mtoto wa mjini anajua sana kucheza karata zake , Aziza huko alipo anaendelea na kazi zake kumbuka undercover agent of CIA usiulize maswali Mengi elewa hivo hivo , Olegwain huko Kinondoni mission yake Kama vile haipo kumbe yupo ila he is killing opposition parties via cdm slowly.
Ina maana unaweza kukuta mamvi yupo kwenye kazi maalumu baadae arudi nyumban?
 
Akishakueleza hayo muambie agusie nini ilikuwa chanzo cha kuvunjika kwa ubao wa kaburini kule Butihama alipozuru Mr Ukweli na uwazi ? Tambiko gani ilifanywa mpaka mi mizimu waliompeleka Mr Clean Ulaya ukamrudisha akiwa hai huku akijikongoja ?
Mkuu inaonekana wewe unajua kitu hebu tupe data
 
Targeted na aliekuwemo Sabasaba na Hayati Dkt Omar alikuwa ni Joseph Laurent Kabila sio Yoweri Kaguta Museveni!

Kipindi hicho Joseph Kabila alikuwa anapambana na Waasi waliokuwa wanajiita Banyamulenge waliokuwa wamejificha Misitu ya Mashariki ya Congo na lengo Lao lilikuwa kuipindua Serikal

Kiongozi wa Waasi Hao alikuwa ni Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dat Es salaam akiitwa Prof Wamba Dia Wamba!

Nimeshakutafunia, kazi yako ni kuunganisha dots tu
Prof Wamba Dia Wamba,yupo wapi huyu mtu?nilikuwa napenda sana kusikia jina lake haswa kwenye frequency za DW..
 
Mkuu pipi mti karma ni adhabu ambaye wewe unalipwa kulingana na kitu ulichofanya duniani either mbaya au nzuri mf: Umemdhulumu bwana Pohamba au lusungo hela zake basi wakakuambia Mungu anakuona na malipo ni hapa hapa duniani basi akitokea mtu mwingine nawewe akakudhulumu kiasi cha pesa kile au zaidi basi tunaita KARMA . Am standing for correction.
....Good Answer.
No more question.
 
Akishakueleza hayo muambie agusie nini ilikuwa chanzo cha kuvunjika kwa ubao wa kaburini kule Butihama alipozuru Mr Ukweli na uwazi ? Tambiko gani ilifanywa mpaka mi mizimu waliompeleka Mr Clean Ulaya ukamrudisha akiwa hai huku akijikongoja ?
Naskia kuna nyani alilia sana sikukadhaa pale butiama baada ya mwalimu kuzikwa
 
Back
Top Bottom