Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma

Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma

Ilikuwa ni Pegeout 501 alitoka nayo Vitani Uganda akakataa kuilipia Kodi na Ushuru mpakani kwenye idara ya Forodha akijinasibu yeye ni DG wa Tiss.
Habari zilipofika kwa Nyerere akatimuliwa kazi!

Sio Uganda mkuu,soma sehemu ya mahojianao yake na Raia mwema hapo kuhusu hilo sakata la gari..

Raia Mwema: Tueleze kuhusu Seychelles

Dk. Kitine: Huko nimekwenda na nchi nyingine nyingi Afrika. Mimi ni mpigania uhuru. Nimekwenda Comoro, Madagascar, Msumbiji, Malawi, Zambia, Zimbabwe, Afrika Kusini kote huko.

Raia Mwema: Inasemekana ulipata gari aina ya benz kule Seychelles, uliletewa hapa ndani ya ndege.
Dk. Kitine: Si kweli. Hakuna kitu kama hicho. Sijawahi kuwa na benz. Ni uzushi. Nilinunua gari mimi kule Peugeot, 405, na nilinunua ile gari kwa dola hata 1,000 hazikufika. Sijui 500 au 600, na hiyo pesa niliyotumia alinipa Hassan Ngwilizi.

Halafu yeye alikuwa na mjomba wake hapa (nchini), alikuwa anajenga nyumba yake kule Lushoto akaniambia tafadhali kampe mjomba wangu hiyo, ilikuwa sawa na shilingi laki sita au saba.

Alinunua ile gari kwa niaba yangu, baadaye akafanya utaratibu wa kuileta huku, sasa alitumia hela yake hata dola 1,000 haikufika. Akaniambia tafadhali najenga nyumba kule kampe mjomba wangu.
Nimefika hapa nikampa hiyo pesa. Gari yenyewe nimenunua ya zamani ilikuwa ya hela ndogo, akanipa niilete. Lakini watu wakapiga kelele. Nimenunua gari, Mwalimu (Rais Nyerere) amenifukuza kazi.
 
Mtoa mada kwanini Mwl wakati anaenda uingereza safari yake ya mwisho kwa ajili ya matibabu watu waliokuwa karibu wanasema wakati anapanda ndege alilia na kutoka machozi kusikitika nchi yake, je alikuwa anajua hawezi kurudi akiwa hai. ?
Dead people don't count
 
Hakuwa Museveni, ilikuwa Joseph Kabila ilikuwa kwny Maonesho ya Sabasaba I it was 2001
Alifariki saa 6 usiku Nyumbani kwake Ostybay baada ya kutoka kwny Maonesho ya Sabasaba !

Hii Nchi ni kisiwa cha Amani
1) 1972 tulipoteza Rais Kwa Risasi
2) 1984 tukapoteza Waziri Mkuu kwa ajali
3)1996 Tukapoteza Mkuu wa Usalama wa Taifa kwa Risasi
4) 2001 tukapoteza Makamu wa Rais kwa sababu isiyojulikana

Watu wanazaliwa na kufa...na hata kama sio kwa kulala kama Dr. Juma, tutakufa hata viunoni kwa wanaopenda ngono. Kuna mwimbaji mmoja wa DRC Congo alifariki akiwa jukwaani. Watu wengi wakaja na theories kibao eti kuna waliomuua. Kumbe alitumia viagra baada ya kupata kibinti kibiji na yeye mambo yale yameenda saa kumi na mbili jioni.

Ninachotaka kusema ni kuwa, sijui sana ila tusianze kufikirishana kuwa viongozi wao hawapaswi kufa. Hata Mwalimu kuna theories nyingi sana juu yake.
 
Kazi ilimalizwa Butiama kwenye birthdate yake nenda kaangalie au katafute amezaliwa lini , Na hiyo ndio ikawa his last birthday anniversary.

Kiakili alishakufa sometimes ata we mwenyewe unaweza kutabiri au kujua mwisho wako. Yeye he was forced to kick the bucket.
Kabisaaaaa na alimaliza glass nzima
 
Watu wanazaliwa na kufa...na hata kama sio kwa kulala kama Dr. Juma, tutakufa hata viunoni kwa wanaopenda ngono. Kuna mwimbaji mmoja wa DRC Congo alifariki akiwa jukwaani. Watu wengi wakaja na theories kibao eti kuna waliomuua. Kumbe alitumia viagra baada ya kupata kibinti kibiji na yeye mambo yale yameenda saa kumi na mbili jioni.

Ninachotaka kusema ni kuwa, sijui sana ila tusianze kufikirishana kuwa viongozi wao hawapaswi kufa. Hata Mwalimu kuna theories nyingi sana juu yake.
weka unachojua au waachie wanaoweka wanachojua..
 
Mm nakumbuka ile ya kombe wakati huo nilikuwa mdogo sna nafkiri ilitokea moshi kma sikosei aliuliwa na POLISI wakidhani jambazi kumbe ni mkurugenzi wa usalama ili trend sna by that time nilikuwa namuuliza baba huyu kombe ni nani lkn alikuwa hanipi jibu..tunaomba mtukumbushe wahenga kwa sababu kuna mambo yanaweza kuwa yanatokea Leo hii tukareact vbya na sisi tukapotea wakati ni utamaduni wetu katika kustableliaze na kudefend uzalendo wetu
Mkuu itakuwa uliadisiwa tu.
Maana ulishasema ulikuwa mdogo, kwahiyo usiendelee aunaujualo labda kama uliadisiwa full Series.
 
Back
Top Bottom