blackstarline
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 3,278
- 7,966
Upo huko kakonko utajulia wapi haya majina?hebu acha kuharibu majina ya watu, rudi shule kwanza ukajifunze kuandika upya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo huko kakonko utajulia wapi haya majina?hebu acha kuharibu majina ya watu, rudi shule kwanza ukajifunze kuandika upya
Tatizo si ID, tatizo kuna comment fulani zina fingeprint.Tena Security clearance ya level 5.watu wanakoment na fake IDs lakini bado wanaogopa.
Sure.unaweza kujiexpose bila kujua kuwa umeji exposeTatizo si ID, tatizo kuna comment fulani zina fingeprint.
As the rapper Nas once said "there are some ghetto secrets I can't rhyme in this song"Sure.unaweza kujiexpose bila kujua kuwa umeji expose
As the rapper Nas once said "there are some ghetto secrets I can't rhyme in this song"
OR,
As Dr. No said "If I tell you, I will have to kill you".
Mkuu salute kwako, funguka zaidi maana madini yako siyo ya kawaida.Mwalimus personal bodyguard baada ya 1999( death) alipanda kuwa Capt. Akapewa special task force kupambana na wasomali waliovamia ngorongoro na kumuua ocd kongoa.
There after akaenda mafunzo. Kurudi el kawa pm. Akakabidhiwa.baada ya 2015 amestaafu.
Mwenziye Julie yupo kwa jpm
Zamani tulikuwa tunakaa vijiweni,siku hizi JF ndiyo kijiwe.nikosoma huu uzi najioona kama niko barza kumbe niko ndani kikombe cha 5 cha kahawa hv namaliza na ugoro kdg nimeweka hapa hahahaha asante jf
Bwenga ni part and parcel ya Mukhabarat ndio maana kila kitu kinafungwa lakini hili dude liko live 24/7. Kwa lingo yetu yeye anakuwa agent provacateur for obvious reasons. Kitu kingine nataka nikuhakikishie, Mukhabarat hawana tatizo na hili dude, as a matter of fact wana bots zao just incase likienda chini kwa sababu this is part of their play na pia ni nzuri kwa open intelligence. Jiulize iweke mitusi yoote hii mnayovurumisha humu 24 hili dude halijafungwa?Kuna watu wanajisahau na kutoa mawasiliano yao Humu ndio maana unaona Code language wengine wanafahamika Kabisa, its bad Mtu unapaswa kutojulikana hata kwa kufungua ID mpya ambayo usiruhusu kutoa mawasiliano wala mtu yoyote kujua Identity yako.
Lakini hili pia hali assure security yako, Hujawah kujiuliza Melo alivyo potential anaweza kuwa Nje na DSTV?
Msaada tutani
1. Imekuwaje hata kindovu anatamba katika enzi zote.?
2. Je ni kweli Joka la mdimu yupo silenced mazima baada ya ile move ya kuitisha press conference kufeli.
3. Laingwanani siku ya kutangazwa matokeo, kile kitendo cha kutaka kwenda tume akazuiliwa juu kwaju ni kweli alikuwa akimaanisha au alikuwa anacheza karata.
4. Uhalali wa kijana wa mwandiga kujiita mpinzani huku siku za karibuni viongozi wake waandamizi wakirudi chama dola kwa kasi. Na kuukwaa nyadhifa za juu ambazo zinatia shaka kudhani kama kweli walikuwa wapinzani.
5. Mzee wa karatu ni kweli kaasi chama dola.? Haiingii akilini kasave miaka 10 ya Mr clean then ghafla kahamia kwa hasimu wake huku upande wake wa Mr Clean ukiwa umeshika dola. Nini kimetokea hapo kati.?
6. Mkuu wa DSTV enzi za Mr clean, kuwa masterminder wa harakati za ulipo tupo, halafu baada ya matokeo juzi kati tumeona kachaguliwa katika bodi ya washauri wa JPM wakiongozwa na Mzee Kitine. Hii imekaaje.??
7. Baada ya matokeo nani alimuita mchungaji wa Nigeria.? Na kwa lengo gani.?
8. Je Ugonjwa wa Laingwanan ni kazi ya kitengo kumnyamazisha au ni magonjwa ya kimaumbile tuu..?
Ukiwa humu unatakiwa kuwa makini sana kuanzia uchangiaji hadi utoaji wa mada.... Mfano hii mada inayoendelea sasa nadhani kwasasa wanahangaika kujua wachangiaji wake ni akina nani hasa ndani yake... Maana yanasemwa mengi yaliyofichika tena katika mpangilio... NA WANAANGALIA MWISHO WAKE WA HII MADA NI NINI.... maana watu watanogewa hadi watajikuta wanaingia 2015-2020
Chief,
Hao wote uliowataka ni irrelevant
Watu washaanza kujipanga for the next 50 years. Kuna new players na hao woote mnaowaona jamaa washasema hawana influence yoyote ile hivyo kwa sasa tazama hao vijana in their mid 20s
Hao wengine its its just a matter of time wa check out au tuseme wamekuwa reduced to irrelevancy
Mkuu Complex, maswali yako ni ya msingi sana hasa kwa mkatadha wa huu uzi, nataka sana kujua kuhusu, Joka la mdimu, ujio wa Prophet, na ugonjwa wa member wa boys2men