Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma

Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma

Unamaanisha December, savimbi, bao la mkono, Kijana wa nzega na wote wa rika lao kuwa hawana anything to offer hata wawatafute mid 20 guys.?

wao washaweka vijana wao

kuna walio in their mid 20s

kuna walio in their early 30s

Kuna walio in their 40s

most interesting thing tazama wanafanya nini bear in mind majority ya hao "new turks" wako serikalini na private sector na hawajawa exposed kwenye party machinery for obvious reasons...na dyanamic zimebadilika sana kwa sababu sasa hivi teuzi zinafanywa randomly utaskia mtu naakuwa parachuted from no where.

Namsubiri Billy aje atakuwa kanielewa
 
Nimekuelewa katika hili. Kama ni hivi sioni namna hawa watu wataachia usukani.
 
Shikamoo boys 2 men aiseee
Walikua na uwezo wakuifanya Tanzania ikapiga bao sana ila ndo hvyo tena

BOYZ II MEN sasa hivi wako kwenye obscrurity

Kuna makundi mengine mawili na wako so silent utadhani hawana wanachokifanya lakini wapo

1. AI

2. Clones

itabidi kufungua uzi mpyaa na kwa faida zaidi itabidi iwe jukwaa la siasa na sio huku
 
Bila shaka hawa AI ni wale walio katika mzizi mkuu na hawa CLONES ni wale wanafuata mrengo wa siasa za Yule wa Iringa aliyekufa kwa ajali ya chopa iliyodondoka selous kipindi cha uchaguzi.
 
Bwenga ni part and parcel ya Mukhabarat ndio maana kila kitu kinafungwa lakini hili dude liko live 24/7. Kwa lingo yetu yeye anakuwa agent provacateur for obvious reasons. Kitu kingine nataka nikuhakikishie, Mukhabarat hawana tatizo na hili dude, as a matter of fact wana bots zao just incase likienda chini kwa sababu this is part of their play na pia ni nzuri kwa open intelligence. Jiulize iweke mitusi yoote hii mnayovurumisha humu 24 hili dude halijafungwa?

Suala lingine, kutokana na unyeti wa kazi zenyewe wao kushughulika na hili dude is beneath them kwa sababu kinachotishia usalama wa nchi humu. Hata C wote walipokuwa wanapigwa presha kuhusu hili dude wao walisema they have a bigger fish to fry.

HIvuo endeleeni kukamua tuu

Sasa kuna haja gani ya kuendelea na kesi ya kujua id za walio nyuma ya vibonyezwa ?

Kwa kinacho endelea tu kwa bwenga, wb wengi wanacheza kwa step bila ya kumkanyaga mwengine!

Embu sema vizuri mkuu, unatoa assurance ili big potatoz waliokimbia warudi upya, pengine mukhabarat wana funguo za dude?
Kidding
 
Project vanguard disaccepted but mamvi dismantled to new I.d to authenticate mkwere but skill mavi holds a lot of people in diesitivi but I think chattle boy should be humble coz is like kinyago there and they are just fooling him all things goes as planned
That makes the two of us
I real have this feeling that still boys 2 men have a plan ambayo chayo boy haijui
 
BOYZ II MEN sasa hivi wako kwenye obscrurity

Kuna makundi mengine mawili na wako so silent utadhani hawana wanachokifanya lakini wapo

1. AI

2. Clones

itabidi kufungua uzi mpyaa na kwa faida zaidi itabidi iwe jukwaa la siasa na sio huku
Lini utafungua mkuu
We need this
Wengine hatuwez kwenda kushinda kule majukwaa ya celebrity au mapenz
We need these stufs mkuu
 
Back
Top Bottom