HNIC
JF-Expert Member
- Sep 6, 2011
- 1,898
- 2,197
Unamaanisha December, savimbi, bao la mkono, Kijana wa nzega na wote wa rika lao kuwa hawana anything to offer hata wawatafute mid 20 guys.?
wao washaweka vijana wao
kuna walio in their mid 20s
kuna walio in their early 30s
Kuna walio in their 40s
most interesting thing tazama wanafanya nini bear in mind majority ya hao "new turks" wako serikalini na private sector na hawajawa exposed kwenye party machinery for obvious reasons...na dyanamic zimebadilika sana kwa sababu sasa hivi teuzi zinafanywa randomly utaskia mtu naakuwa parachuted from no where.
Namsubiri Billy aje atakuwa kanielewa