Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma

Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma

Mkuu hizi nyuzi zipo nyingi ila zikifunguliwa zinaondeshwa km flying UFO nitakuja na nyingine ni kwanini vijana waende anjuanian ilikuwa ni ridhaa ya nani na faida ni ipi ? Maana envoy wao inasemekana alileta mzigo mkubwa lkn ndo hivo clan de staff akayapiga mwishowe akapewa na zawadi ya kuwa envoy huko opium war.
Hivi ni kwann aliyekua "Clan de staff" kisha kupelekwa Opium war amezinguana na Chattlenian? unafaham scandal ya landrover 400 kuagizwa kupitia "clan"? ..

-Sponsor alimtwangia simu akamtengua kimya kimya akamuuliza unasepa lini umekula umeshiba..

BTW zawadi aluyopewa na vijana Wa Anjouan ndio GOmz na MB 3 colours!
 
Inamaana unataka kusema ile mission haikuwa kwenda kumtoa Col Beka bali ilikuwa na agenda nyuma ya pazia ya kwenda kuteka opium iliyokuwa inaingia kwa col Beka.?

Kama ni hivyo sitoshangaa kama opium ile yote iliingia bongo. By the way Naona de staff sasa hivi katolewa kule kwa wenye macho madogo.
Ni mmoja ya watu waliomtibua chattlenian mapema baada ya de staff kuagiza 400 landrovers (licha ya kua ameepumzishwa kwa macho madogo) kwa kutumia jina la de "clan" ili ndinga hizo zisilipe kodi..

Pogba akqmpandia hewani akamzingua unasepa lini? umevimbiwa sana kwa zaidi ya 30 yrs..kisha akamzingua bila kutangazwa ili kulinda heshima yke..Inshort pogba amemstahi!

BTW vijana Wa Anjouan walim mind de staff kuchakachua mpunga wao Wa asante! wakaanza kumchokonoa..

Taarifa zilipowafikia hawa Wa nyumbani nao wakabaini de staff anawalima Tsh.150 kwenye mshahara wao..

wakampatia "zawadi ya Xmas na mwaka mpya" Gomz na MB 3 colours! booom! kuonyesha hawamtaki!
 
Alipigwa nyumbani kwake moshi mbele ya mkewe, na polisi
Hapana. Sio nyumbani. Njiani Dar- Moshi Rd akitokea Dar.
Vijana wa Omar former Ingia Gerezani Pekee wakamsimamisha eti ile vehicle ilikuwa inatafutwa. Alikuwa na ubavu wake. Mzee akahisi ni wezi akakimbilia shamba la mahindi. Mara pyuu pyuuu!
 
Ni mmoja ya watu waliomtibua chattlenian mapema baada ya de staff kuagiza 400 landrovers (licha ya kua ameepumzishwa kwa macho madogo) kwa kutumia jina la de "clan" ili ndinga hizo zisilipe kodi..

Pogba akqmpandia hewani akamzingua unasepa lini? umevimbiwa sana kwa zaidi ya 30 yrs..kisha akamzingua bila kutangazwa ili kulinda heshima yke..Inshort pogba amemstahi!

BTW vijana Wa Anjouan walim mind de staff kuchakachua mpunga wao Wa asante! wakaanza kumchokonoa..

Taarifa zilipowafikia hawa Wa nyumbani nao wakabaini de staff anawalima Tsh.150 kwenye mshahara wao..

wakampatia "zawadi ya Xmas na mwaka mpya" Gomz na MB 3 colours! booom! kuonyesha hawamtaki!
Shkamooo mkuu,kama ulikuwepo yaani umegusa mulemule kidonda kinapo toa damu.
 
ahmed Rajab hawezi kuja baada ya Majibu aliyopewa na Alli Akbar Valeyati pale Shahrbani Palace alipotumwa Al Riyami ( ripoti ipo kwa jamaa wa Magot) maybe itakuja kuwa de classified after 100 yrs sote tukisha check out.

Mara milioni angeenda kwa blad wake hapo Nizwa badala ya kwenda kwa hao ma ahlul bayt ambako the Rain maker yuko connected by kinship alishawaelekeza Qibla toka enzi za Nabii Nuhu!!!

somo: Dont hate the playa, hate the game!

open intel
 
Na kama unakumbuka vizuri mkuu swala zima la Chama kuyumba lilianza pale kinana wa Chama kwa wakati huo (mzee masilingi akiwa na kijana wa goli la maradona) walipokuja na agenda ya kujivua gamba.

Hii issue ilita mzozo sana na kuna habari kuwa ndani ya mkutano flani wa chama pale chimwaga wakati mkutano unaendelea Morani kwa ujasiri wa kimotoni alisimama na kutoa japo kidogo tu ya moyoni pale alipomuuliza mkwere kwamba inakuaje anakubali vijana wadogo (vijana toka mtam, akina December etc) wamchafue kwamba yeye ni fisadi tena fisadi mkubwa kwenye skandali ya richimondi wakati hakuna chochote alichokifanya asichokijua mkwere kwenye ile issue.

Matokeo yake mkwere aliwapiga biti madogo ambao ndio walikuwa vinara wa kuvua watu na magamba pamoja na mzee masilingi kwamba hataki kuskia tena issue ya magamba

From there ndio maana hata akina joka la makengeza wakaanza kujitapa hadharani kwamba magamba yamevuliwa yakaishia kiunoni.

Baada ya kuona mambo si mambo mkwere ikabidi amtafute mkulima kutoka Iringa arudi kusaidia kuokoa jahazi la chama na pia akapanga kikosi upya kinana akaletwa kuchukua nafasi ya masilingi alafu masilingi kutulizwa akatupwa zake kwa Trump kama balozi wetu huko.

Akina December wakatolewa kwenye kazi za chama wakapewa shavu serikalini yaani hii movie acha kwanza niweke pause.
Mkuu hapa kuna joka la makengeza a.k. a kafara ng'ombe mia huu huzi ni kama ulimwacha pembeni cjajua unyeti wake tangu mzee wa ruhusu mpk clean plus khalufn, yeye yupo tu, pamoja na mzee 7 yule wa tezi dume, na mzee "Yupo" lile nyani la pale karibu na mzee mchongo, huu uzi naona km umewaacha pemben wkt uwa naona km wana legacy fulan kwenye chama au cctim kwa ujumla....
 
8ceeb89dd9a0b28aa649382292d12102.jpg

Ahmed Hassan Diria - Wikipedia
[emoji115] [emoji115] [emoji115] Msome umjue
imetafsiriwa kiswahili au ni wikpedia ya kimombo?
 
dah, ila aliyestaafu siasa uchwara aliona mbali haswa. Maana yeye aliicheza karata yake toka 2014. Huku akimuacha mwenziwe wa bariadi akikomaa na dude.

By the way aliitafuna sana nchi. Kuna habari moja niliisikia sikuamini. Ilikuwa ikimuhusisha Persian guy na opium iliyokuwa busted maeneo ya Pangani kwamba ilikuwa yake. Nkashangaa kwa nini haikuingia ktk media wakati opium ilitapakaa pwani kama mifuko ya sukari.
 
Nani akamatwe ? Asee ni vema ungepita kiaina. Tukiwa tunaelekea Stockholm via Amsterdam na KLM jamaa moja kutoka MOFA akanambia inabidi tusitishe rout turudi kijijini mapema mambo yamebadilika na kuna pipa imeshabukiwa tutaipanda Frankfurt siku km kukamatwa ndo tungekamatwa siyo hapa . Just get your life unalala na kupumua kwa sababu tunaandika hayo maneno hapa. Nchi ina mengi mkuu jaribu kutulia ujifunze mengi.

Mzee kumbe na wewe ulipitia umenyeni.? It was a nice place to be aisee.
 
Hapana. Sio nyumbani. Njiani Dar- Moshi Rd akitokea Dar.
Vijana wa Omar former Ingia Gerezani Pekee wakamsimamisha eti ile vehicle ilikuwa inatafutwa. Alikuwa na ubavu wake. Mzee akahisi ni wezi akakimbilia shamba la mahindi. Mara pyuu pyuuu!
Naaam, naskia jamaa kauliwa mkewe akishuhudia

Inauma
 
That's y chattlenian anaemploy more to mguu pande mguu sawa.
Green vest wameajiriwa wengi with 2 yrs contract. Ndio wasimamizi uchaguzi 2020.
Wazee wa chalk hawana jipya tena.
Hahaaa! Codes from Bottom to Top..
 
Back
Top Bottom