Kindeena
JF-Expert Member
- Sep 27, 2017
- 11,462
- 21,124
Kwa hiyo sabasaba ni mwezi wa 4?
Soma kwanza nilichokiandika na uelewe, acha kuuliza maswali ya standard one!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo sabasaba ni mwezi wa 4?
samahani mkuu,hivi binamu ya mke wa Vasco da Gama anaposition gan saiv?Naelewa mkuu kuwa upatu unageuga..! Mwisho wa siku simba mwenye kucha ndio anakuwa mtawala kwenye kitoweo.
Kila mmoja lazima ataanda wa kwake, B2M lazima ije kivingine this time..na kuna dalili kubwa Vasco da gama akarudisha jina la binamu wa mkewe mdogo..
Mkuu sometimes yakupasa kuwaza kwa makini sana ubaguzi wetu sisi ulianzia zamani kati ya mchonga na malihai walipotofautiana maya regionalism after that ni genotype. Tuzidi kuomba mengine tuyaache .
Ww huwez ku-connect dots?? Subir utafuniwe kila kitu kama ulivyofanyiwa kule shuleSasa kama alivujisha siri Kwa mrema,kagame anaingiaje hapo?sioni connection
Kuna virus na ant-virus usisahau ilo ndugu yanguduh nimechek hiyo clip, inakuaje sasa aliye shuka hiyo sumu asidhurike ndani ya muda mfupi kama aliyepakwa?
dawa/sumu ilimkuausha within few minutes walio sema gloves niliwaelewa kidogoKuna virus na ant-virus usisahau ilo ndugu yangu
Hujawahi kuchemsha maji kwenye kopo la maji ya uhai lililofungwa kwa kifuniko?dawa/sumu ilimkuausha within few minutes walio sema gloves niliwaelewa kidogo
sijawah mkuu hebu nipe maujanjaHujawahi kuchemsha maji kwenye kopo la maji ya uhai lililofungwa kwa kifuniko?
Aisee huu uzi si size yakoKwa hiyo sabasaba ni mwezi wa 4?
Jibu swaliShikamoo mbishi
Mbona unarukaruka tu,sabasaba ni mwezi wa nne?Aisee huu uzi si size yako
Hebu usikurupuke, we ndiyo unarukaruka hadi baadhi ya comment umezipita. Hilo sual lishawekwa sawa ndiyo maana watu hawaligusi, usijitoe akiliMbona unarukaruka tu,sabasaba ni mwezi wa nne?
Nani kaandika mwezi wa nne?shule ulienda kusomea ujinga?Mbona unarukaruka tu,sabasaba ni mwezi wa nne?
Sijaenda shule mkuuWw huwez ku-connect dots?? Subir utafuniwe kila kitu kama ulivyofanyiwa kule shule
Nenda chit chat sasa huku unabung'aa nn??Sijaenda shule mkuu
Nabung'aa tu hivyohivyoNenda chit chat sasa huku unabung'aa nn??
Nashangaa watu wamekuwa wavivu kufikiria,kila vifo ya utata ,basi kagame anahusishwa,yani waking hakuna majibu ,basi utasikia nasikia kagame anahusika,anahusikaje ukiuliza,wanaleta story tu za kutungaNenda chit chat sasa huku unabung'aa nn??
Story zipi zimetungwa??Nashangaa watu wamekuwa wavivu kufikiria,kila vifo ya utata ,basi kagame anahusishwa,yani waking hakuna majibu ,basi utasikia nasikia kagame anahusika,anahusikaje ukiuliza,wanaleta story tu za kutunga
wanasema his chances are slim both sides of the Union. Lakini kama ana akili ajaribu kule visiwani and who knows he can repeat what mzee did kupiga kote kule na huku kwa machogo billy na pohamba wanaweza kuwa na detailed analysis ya jamaa maana mkimya sana na dingi inaonekana ni mzungumzaji kuliko jamaaWhat are the chances za alumni wa Ubatani? In 2 and half yrs anaweza kuvuka habari otherwise asubiri 8 more years huku kwa machogo....je king maker anamkubaki?