Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,710
- 76,243
Carlos SlimNani huyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Carlos SlimNani huyo
You missed a point. pitia pitia comments zote na utajua tu. sometimes 1 inaweza kuwa i...Hii theory haina ukweli. Kubadilisha mic inawezekana but aliyeongea kabla ya hiyo mic au walioongea wakitumia hiyo mic wote walikufa?hiyo mic ya kwanza yenye sumu iliwekwa saa ngap? Huwezi muua rais wa nchi nyingne akiwa nchi nyingne kwa sumu.mgogoro wake ni mkubwa sana kidiplomasia.mkubwa sana ambao hakuna nchi pumbavu inaweza fanya hivyo.maana post mortem ingeonesha tu ameuawa kwa kuvuta hewa yenye sumu. Na tanzania hawajawah kuna na uhasama na mu7 wa kufikia kutaka kumuua.hata siku moja. Na kagame na mu7 hawana uadui huo ni marafik mpaka leo. Hizi theories muwe mnatulia kwanza
Pagumu kupaelewa hapa hebu weka kwa code nyingineView attachment 670731View attachment 670732 View attachment 670733View attachment 670734View attachment 670735View attachment 670736View attachment 670737View attachment 670738View attachment 670739View attachment 670740View attachment 670741View attachment 670742View attachment 670743
MWENYE MASIKIO NA ASIKIE USIJE SEMA HUKUAMBIWA
Tuna tathimin yalitokea leo.Mbona wazee wa code wamepotea
Au ndo bozy2men at workTuna tathimin yalitokea leo.
Picha lakihindi hilo na halina subtitleAu ndo bozy2men at work
Tutajua ukwelPicha lakihindi hilo na halina subtitle
Mkuu soma vizuri thread hii Ina mengi ya kujifunza yaliotokea na yajayo yapo humu just get your time and read between the lines. Everything is here.Mbona wazee wa code wamepotea
Huu uzi nimeusoma mwanzo mwishoMkuu soma vizuri thread hii Ina mengi ya kujifunza yaliotokea na yajayo yapo humu just get your time and read between the lines. Everything is here.
Hapa hapa kwenye huu Uzi tulishaulizana je kuja kwa one among boyz 2 men kile kizazi cha dhahabu opposition je kilikua na tija ? Kilichotokea huko Feri masaa machache yaliopita ukizingatia it's just a few days ago TLS boss ambaye ni MP alimlaumu sponsor's regime kwa kile alichosema walitaka kumuua, wengi wameshikwa na butwaa kuhusu yaliyotokea, Lisu yupo Belgium akiuguza maumivu makali. But adui wake anapongezwa na mwanachama mwenzake kwa kazi nzuri hakika inahitaji mioyo migumu kama ya chuma cha reli kuvumilia inauma sana.
Katika press release ya State House nimesoma na kusimkia Maghu akipongezwa kwa jinsi anavyofanya vizuri je vipi suala la uminyaji wa demokrasia ? Vipi suala la ikulu kushiriki moja kwa moja kwenye uchaguzi kwa kuwatumia police officers kuwapiga watu ?
Vipi suala la kuwanunua wanasiasa hasa wabunge wa upinzani na madiwani ? Je Mr ulipo tupo tuendelee kukuamini hasa ukifanya ziara feri huko mnadani pugu biashara inaendelea. Hapa Russia wanasema "Он является агентом выполнения своих обязанностей эффективно время скажет"
Mkuu soma vizuri thread hii Ina mengi ya kujifunza yaliotokea na yajayo yapo humu just get your time and read between the lines. Everything is here.

Alafu bobby mwenye sijua niwaaje hadi kumlaza mtu kitandaniAisee hilo jambo nami limenishtua sana, bila shaka hapa si bure kuna something big inakuja. Na i predict kitaacha machungu kwa wengi katika nyoyo zao. Ila naona series ya moves katika siku 3 hizi ambazo somehow zinacontradict though.
1. Mwenye kadi namba 8 yupo hospitali na katembelewa na jamaa.
2. Siku moja imepita mzee wa ulipo tupo, naye kamtembelea mwenye kadi namba 8.
3. Leo ulipo tupo kaenda feri.
katika jicho jingine, nilijiuliza sana inawezekanaje mwenye kadi namba 8 ang'atwe na bobby. Nilijaribu kutengeneza picha ya jinsi mzee kung'atwa na bobby nikaikosa kabisa picha.
Muda ni mwalimu mzuri sana.
Alafu bobby mwenye sijua niwaaje hadi kumlaza mtu kitandani
Kunamtu anatafutwa aingie kwenye kumina nane wamnyongee mbali.ndo hapo sasa nimeshindwa kuelewa. Hisia zangu zinanituma hii picha imechezwa.
Kuna kusoma na kuelewa mkuu ? Hiyo ziara si ya ghafla it was well arranged asa kufuta kile kilichozungumzwa na Nai na TL hakika CCM ni mafia but kila kitu kina mwisho wake. Get well soon learned brother. TLHuu uzi nimeusoma mwanzo mwisho