Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma

Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma

Hii theory haina ukweli. Kubadilisha mic inawezekana but aliyeongea kabla ya hiyo mic au walioongea wakitumia hiyo mic wote walikufa?hiyo mic ya kwanza yenye sumu iliwekwa saa ngap? Huwezi muua rais wa nchi nyingne akiwa nchi nyingne kwa sumu.mgogoro wake ni mkubwa sana kidiplomasia.mkubwa sana ambao hakuna nchi pumbavu inaweza fanya hivyo.maana post mortem ingeonesha tu ameuawa kwa kuvuta hewa yenye sumu. Na tanzania hawajawah kuna na uhasama na mu7 wa kufikia kutaka kumuua.hata siku moja. Na kagame na mu7 hawana uadui huo ni marafik mpaka leo. Hizi theories muwe mnatulia kwanza
You missed a point. pitia pitia comments zote na utajua tu. sometimes 1 inaweza kuwa i...
 
upload_2018-1-8_7-31-43.png
upload_2018-1-8_7-32-9.png
upload_2018-1-8_7-32-27.png
upload_2018-1-8_7-32-53.png
upload_2018-1-8_7-33-18.png
upload_2018-1-8_7-33-40.png
upload_2018-1-8_7-33-55.png
upload_2018-1-8_7-34-10.png
upload_2018-1-8_7-34-25.png
upload_2018-1-8_7-34-39.png
upload_2018-1-8_7-34-55.png
upload_2018-1-8_7-35-8.png
upload_2018-1-8_7-35-21.png

MWENYE MASIKIO NA ASIKIE USIJE SEMA HUKUAMBIWA
 
"Kambona himself had his own "revelations" concerning the national identities of other Tanzanian leaders including President Nyerere himself. He said Nyerere's father was a Tutsi from Rwanda who was a porter for the Germans and settled in Tanganyika and that he could prove it"
Conspiracy Theories
Oscar Kambona - Wikipedia
 
Mbona wazee wa code wamepotea
Mkuu soma vizuri thread hii Ina mengi ya kujifunza yaliotokea na yajayo yapo humu just get your time and read between the lines. Everything is here.

Hapa hapa kwenye huu Uzi tulishaulizana je kuja kwa one among boyz 2 men kile kizazi cha dhahabu opposition je kilikua na tija ? Kilichotokea huko Feri masaa machache yaliopita ukizingatia it's just a few days ago TLS boss ambaye ni MP alimlaumu sponsor's regime kwa kile alichosema walitaka kumuua, wengi wameshikwa na butwaa kuhusu yaliyotokea, Lisu yupo Belgium akiuguza maumivu makali. But adui wake anapongezwa na mwanachama mwenzake kwa kazi nzuri hakika inahitaji mioyo migumu kama ya chuma cha reli kuvumilia inauma sana.

Katika press release ya State House nimesoma na kusimkia Maghu akipongezwa kwa jinsi anavyofanya vizuri je vipi suala la uminyaji wa demokrasia ? Vipi suala la ikulu kushiriki moja kwa moja kwenye uchaguzi kwa kuwatumia police officers kuwapiga watu ?

Vipi suala la kuwanunua wanasiasa hasa wabunge wa upinzani na madiwani ? Je Mr ulipo tupo tuendelee kukuamini hasa ukifanya ziara feri huko mnadani pugu biashara inaendelea. Hapa Russia wanasema "Он является агентом выполнения своих обязанностей эффективно время скажет"
 
Huu uzi nimeusoma mwanzo mwisho
 
Kheri ya mwaka mpya mkuu!

Unaliongeleaje suala la former tra man ambaye mpaka sasa bado yuko locked up.
 
Aisee hilo jambo nami limenishtua sana, bila shaka hapa si bure kuna something big inakuja. Na i predict kitaacha machungu kwa wengi katika nyoyo zao. Ila naona series ya moves katika siku 3 hizi ambazo somehow zinacontradict though.

1. Mwenye kadi namba 8 yupo hospitali na katembelewa na jamaa.
2. Siku moja imepita mzee wa ulipo tupo, naye kamtembelea mwenye kadi namba 8.
3. Leo ulipo tupo kaenda feri.

katika jicho jingine, nilijiuliza sana inawezekanaje mwenye kadi namba 8 ang'atwe na bobby. Nilijaribu kutengeneza picha ya jinsi mzee kung'atwa na bobby nikaikosa kabisa picha.

Muda ni mwalimu mzuri sana.
 
Alafu bobby mwenye sijua niwaaje hadi kumlaza mtu kitandani
 
Back
Top Bottom