Hapa kwetu I.T yake mkuu ni LLocal sana Believe me, I.T inayotakiwa ni level ya akina Modestus KP ( boss wa kitengo pendwa cha sasa) Yule jamaa ndio IT guru, Kama kuna ndugu waliosoma Manchester University humu watakuwa mashahidi, jamaa ameacha Legacy pale.
Ulimwengu wa sasa ni ulimwengu wa Habari hasa kwenye category ya Analzying (Kuchakata habari) Hapo unazungumzia Data Collection, Data storage, Data security and Data analyzation of Which DGwa kitengo pendwa MK amekwiva hapo.
Achana na I.T ya UDSM,Mzumbe, DIT wengi hawana creativity believe me.