kwa kumbukumbu zangu,yalikuwa ni maonesho ya saba saba mnamo mwaka 2001 ambapo Rais Kabila alialikwa na museveni PLUS viongozi wengine. kama unakumbuka, mwaka huo ndo kipindi majeshi ya Uganda na Rwanda walikuwa vitani nchini DRC.
Kuna issues nyingi za kidiplomasia zilikuwa haziendi vizuri ingawa zilikuwa hazitangazwi na Raia wa kawaida walikuwa hawawezi kujua. ili Congo iweze kuwa na Amani, Museveni hakutakiwa kuwepo kwani ndo alikuwa threat.
hata hivyo, mwaka 2000 majeshi ya uganda na rwanda walishazipiga wakiwa kwenye ardhi ya DRC...na PK alinukuliwa akisema..."kwamba M7 anamdharau, then atamuonyesha kuwa siyo tena bwana mdogo". ndo mpango ulipofanyika wa kumuua M7...na wakatega sumu kwenye Mic! simkumbuki mzungumzaji aliyetangulia...but ilikuwa ni zamu ya Museveni.
wakati M7 anajiandaa kutoa speech, bodyguard wake aliitoa ile mic kwa speed ya RADI na kuchomeka mic nyingine aliyokuwa nayo mfukoni. after speech, akarudishia ile ya awali. aliyefuata kutoa speech akawa DR. Omary ALLI JUMA...picha likaishia hivyo. Ila intelligencia ya tz ni ya kiboya haswa.